Official fan blog "Classmate" is one among Bongo Classmates properties... It's all about reporting of Current affairs..
Tuesday, 20 May 2014
SOUNDTRACK YA SHORTFILM YA MRAP(LION) KUANDALIWA NA MONAGANGSTER NA THRONE BOY.
Mrap Lion ameingia kwenye uigizaji
wa filamu fupi, leo hii Mrap
ameonekana kwenye STUDIO za
‘MONA Gangster’ kinondoni akirekodi
soundtrack ya ngoma itakayotumika kwenye filamu
hiyo ambayo beat yake imetengenezwa na producer
mpya
kabisa kwenye game ajulikanar kama
‘Throne Boy’. Throne Boy ni producer ambae
anatengeneza beat zake mwenyewe
na wakati mwingine huweka kwenye
mtandao wa kijamii ambapo siku
chache zilizopita kwenye mtandao wa
kijamii INSTAGRAM, Mrap katika pita pita
alifanikiwa kuvutwa Sikio na beat moja ambayo ni
kali sana na kuweza
kuipeleka kwenye management ya
utengenezaji wa filamu hiyo na
kukubaliana kuwasiliana na ‘Throne
Boy’ kukamilisha mipango na kuibgia na mzigo
kumalizana na stage hiyo na kumalizia mchakato
wa Project hiyo.
CREDIT:GONGA MX.
Labels:
Mrap
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment