Moshi ukiwa umetanda Manzese Darajani
wakati moto ukiendelea kuwaka na
kuteketeza baadhi ya Maduka ya Manzese
Darajani jijini Dar .
Watu waliojitokeza kushuhudia tukio la moto
Manzese wakiwa wamepanda darajaji .
Manzese Darajani jioni hii wakati moto
ukizimwa .
.. .Baadhi ya bidhaa zilizookolewa zikiwa
kando ya Barabara ya Morogoro eneo la
Manzese Darajani huku watu wakishuhudia .
Viti, meza na vitu vingine vikiwa
vimeokolewa .
Gari la wagonjwa lilikuwepo kuokoa
majeruhi .
Baadhi ya wagonjwa wa Hospitali ya Morden
Centre iliyopo Manzese darajani wakiwa
ndani ya gari la wagonjwa baada ya kutimua
hospitali kuhofia maisha yao baada ya
maduka jirani na hospitali hiyo kuwaka moto
na moshi kujaa hospitalini, hivyo kuwapa
hofu wakonjwa. Chanzo cha moto huo
hakijajulikana na vikosi vya uokoaji
vinaendelea na kazi ya uokoaji.
CREDIT:GPL
(RICHARD BUKOS)
No comments:
Post a Comment