Official fan blog "Classmate" is one among Bongo Classmates properties... It's all about reporting of Current affairs..
Friday, 13 June 2014
LYRICS-SIKATI TAMAA RMX BY DARASSA FT GODZILLA & JOH MAKINI.
GODZILLA
toka mdogo maisha yangu hayakuwa simple
miako mitano gerezani kariakoo nauza sizo
mtaa umenitengenezea attitude ya ki'gangsta
wenzangu wamelala, mi niko mtaani naokota
scrapper
bila mi, machizi hawaamini ka Zilla ni Genius
blaza ananipa hela ya rizla karoll palipers
maza ana amini hakuna hela bila skuli
huku mtaani tunaamini bila kamari ni hatuli
matunzo ya mtaa, one night na dream ya
ku'push limo
machizi wanaenda south, border viva frelimo
maisha ya mtaa sio ishu, mlo mmoja kwa siku
machizi wanakula mpakani mwa mchana na
usiku
dada, i miss you, mi ni mtoto wa mtaa
you know my disease, im so black na kila bidhaa
we sell
nikizipata nigga so dont be mad at me
mi ni mtoto wa mtaa and im above so high
even though our life is harder
life is harder life
mi skati tamaaa, tamaa, tamaaa
siku moja nitapata
Sijali siku nimekosa, nimepata, nimekula
nimeshinda njaa
mi skati tamaaa, tamaa, tamaaa
siku moja nitapata
DARASSA
mfano mi nimelelewa kwenye mtaa
sio wale wa "mommy im going i need to use
your car"
baba yangu alimpata mdau, kaachwa mama
kwenye mataa
kawekwa ndani kama mwali na mwanamke kisa
njaa
Mungu kama kanisahau, ila bado naomba dua
Nashkuru, kwa nafasi mdogo mpaka nakua
kwenye amani ya mkopo, Mapenzi ya kununua
Utaniliteaga mimba hata godoro sijanunua
Watoto wa siku hizi ndo maana mengi
wanayajua mapema
Maana wanacheza walichoona kwenye Sinema
Magazeti kila siku ni ya Diamond na Wema
Wakati mtaani kuna vitu vingi vya kusema
Oh my God!, wear miwani niione vyema dunia
Sijutii, kuwa mtaani na sjapanga kuikimbia
Amani kwenye njaa ka maisha ya Mtanzania
Na refa anaita kati na mfungaji kavizia
God damn!
even though our life is harder
life is harder life
mi skati tamaaa, tamaa, tamaaa
siku moja nitapata
Sijali siku nimekosa, nimepata, nimekula
nimeshinda njaa
mi skati tamaaa, tamaa, tamaaa
siku moja nitapata
JOH MAKINI
Yeah
Navuja jasho, bado Pesa ni nyekundu tu
nna'window 'shopper' kwenye duka la maisha ya
juu
mautundu jua uskaripie level kaza full
uskate tamaa ukaacha uhalisi
watu hushonea department officially ya jamii
usizikodi apartment kamjengee mama jonii
ukiacha nilipofikia ni kina nani watu wa dunia
uliposhika shikilia more peace kwa familia za
wahanga
pole mtanzania kaza na usichoke kuzipanga
ukijituma kupangua vipindi baridi kali na kwa jua
tukiungua
kinachowaumbua ukweli, kitaa chote kinaujua
usikate tamaa iwe nuru kwa kizazi
hiki ambacho kweli naogopa wanasiasa
wanapewa ngazi
chapa kazi, jenga msondo niongoe makwaito ni
sauzi
kazwa na kitu yako mashauzi mwachie '.ish'
The river camp kwa maisha na hizi ndo
simulizshi
even though our life is harder
life is harder life
mi skati tamaaa, tamaa, tamaaa
siku moja nitapata
Sijali siku nimekosa, nimepata, nimekula
nimeshinda njaa
mi skati tamaaa, tamaa, tamaaa
siku moja nitapata
Labels:
Lyrics
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment