Wengi tunamfahamu Diva kama ndiye presenter maarufu katika kipindi chake
cha Ala za roho cha Cloudsfm, ila cha kushangaza zaidi, juzi kati
alifunguka na kusema kuwa talent yake haishii kwenye utangazaji ,
alizidi kufunguka na kusema kuwa ana kazi nyingine inayomfanya ajulikane
kwenye system ya nchi na kumfanya awe huru sehemu zote za nchi, yani
hiyo ni mbali na utangazaji wake kwenye redio kama watu wengi
walivyozoea, kitendo hiko kilifanya mashabiki wake wengi wabaki na
maswali mengi bila kujua ni kitu gani haswa, huku diva mwenyewe
akiwaacha mashabiki hewani kwa kutotaja kazi yake hiyo isiyojulikana..Je
unadhani ni kazi gani hiyo?
No comments:
Post a Comment