Saturday, 14 June 2014

VIDEO TANO ZINAZOHITAJI CLEAN VERSION KIBONGO-BONGO.

Diamond-Heart-Breaker-Copyright-WWW-vibe-co-tz

Kila siku ubunifu unazidi kuongezeka katika utengenezaji wa video na kati ya vitu ambavyo wasanii siku hizi hujitahidi kufanya ni kutengeneza mazingira ambayo yatafanya video zao ziweze kuangaliwa sana na kupata umaarafu na kati ya vitu hivyo ni kutumia sanaa ya vichekesho, kushirikisha celebrities, style ya kucheza na hili la mwisho la video models. ni wazi kwamba ukiweka warembo waliojiachia video itapata views nyingi but hii imekua tofauti kwetu kwa mfano nadhani ni wengi hamjui kuwa nyimbo ya Blurred lines aliyoimba Robin Thicke , T.I na pharell kwamba ina clean na dirty version. kwenye dirty version video ipo vilevile sema wale models wanakua hawajavaa nguo  na video hii hauwezi kuiona in public. Basi tuangalie video za kwetu zinazoitaji clean version nazo kibongobongo yaani ingekua mbele hizi video zingekua ni clean.
1. Jembe senet


2.Ujuzi-Climax Bibo
3. Cheza – Q-chief

4. You Guy – P Unit



5. Uzuri wako  – Jux





No comments:

Post a Comment