Official fan blog "Classmate" is one among Bongo Classmates properties... It's all about reporting of Current affairs..
Friday, 13 June 2014
PICHAZ.....MBUNGE(CHADEMA)JOSHUO NASSARI AKIWA MBUGANI AKILA BATA NA MKEWE BAADA YA NDOA YAO.
Wakati bunge likiendelea na kujadili bajeti mjini
Dodoma, Mbunge wa Arumeru Mashariki,
Joshua Nassari yeye ameonekana yupo busy
anakula raha na mke wake ambaye alifunga nae
ndoa weekend iliyopita jijini Arusha.
Hizo ni picha ambazo Mbunge Nassari akila
raha na mkewe.
Labels:
Joshua nassari,
Kitaifa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment