Mwanamuziki Hot Sexy hapa
Bongo, Meninah Atick
ameifungukia ishu ya
kuchoropoa mimba ya
msanii Nasibu Abdul
‘Diamond’ na kusema
hajawahi kubeba mimba ya
staa huyo na wala katika
maisha yake hajawahi
kufanya kitendo hicho.
“Jamani mimi ni mdogo,
kwanza kwa nini watu
wanapenda kunibebesha
vitu vikubwa, mimi sijawahi
kubeba wala kuchoropoa
mimba katika maisha
yangu,” alisema msichana
huyo.
Meninah alienda mbele
zaidi na kusema maneno
hayo yanaweza
kuwapandisha hasira
wapenzi wa Diamond na
kumjengea nao chuki,
wakati ukweli ni kwamba
hajawahi kutoka na msanii
huyo mwenye historia ya
kutoka na wasichana wengi.
GPL
No comments:
Post a Comment