TANGAZO
Lunchtime training center (L.T.C) iliyopo kwa mchina getini mkabala na shule ya sekondari ya biashara inapenda kuwatangazia ya kwamba inatoa mafunzo ya course zifuatazo ;-
*NURSERY
*PRIMARY KUANZIA DARASA LA KWANZA HADI LA SABA
*PRE-FORM ONE (KWA MUDA WA MIEZI MITATU)
*TUITION FORM 1(ONE) TO FORM VI(SIX) KWA MASOMO YOTE SCIENCE,BIASHARA NA ART
*COMPUTER APPLICATION COURSE
*ENGLISH COURSE
*FRENCH COURSE
*ITALIAN COURSE
*ORDINARY LEVEL MATERIALS
*ADVANCE LEVEL MATERIALS
*COMPUTER REPAIR AND MAINTAINANCE
*INTERNET AND STATIONARY SERVICES
*I.T AND EDUCATIONAL CONSULTANCY
*Program ya o'level miaka miwili na a'level mwaka mmoja
Masomo hayo yanatolewa hapa kituoni kwetu kwa bei nafuu ili kila mwanajamii kuweza kuneemeka na mafunzo yaliyoorodheshwa hapo juu,na pia tunatoa vyeti kwa atakaye maliza kozi.
Lunchtime training center,ni suluhisho la ndoto zako kwani ina walimu wenye uzoefu wanaotoka katika shule zinazoongoza kufaulisha hapa visiwani Zanzibar,na tunatumia mitaala yote ya bara na visiwani,na pia tunatoa mafunzo bila ya kujali umri,dini,jinsia,ukabila,rangi wala mlengo wa kisiasa .
Wote mnakaribishwa ,Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa simu namba
0715 43 92 05,0767 43 92 05
KUMBUKA:"Lunchtime Training center itakufikisha katika kilele cha mafanikio ya ndoto zako".

No comments:
Post a Comment