Tuesday, 20 May 2014

NJIA KUMI NA MOJA (11) ZA KUMRIDHISHA MWANAMKE.





Moja ya makosa makubwa ambayo yamekuwa
yakifanywa
 na wanaume, ni kujifunza mbinu mbalimbali za
kuwatomba
 wanawake zao wakidhania kuwa kujua namna
na staili
mbalimbali, ndio kunawafanya wanawake zao
kufikia kileleni.
 Nasema ni makosa kwasababu, wakati
mwanaume yeye
anapokuwa na mwanamke akili yake mara nyingi
huwa ni
 kutaka kumtomba hadi amkojoleshe, wanawake
kwa
upande wao, wameumbwa kutaka kuridhika na
sio kukojoa tu.
Na ndio maana, katika makala hii, hatutagusia
mbinu za
 kutombana hadi umkojoleshe mwanamke, bali
mambo
 ambayo wanawake wanayataka
 (wanataka kufanyiwa wakiwa kitandani), ili
waweze kutosheka na
 raha wanazopewa na wenza wao.
Inawezekana kabisa kuwa yapo mengi sana
ambayo
 wanayataka, so haimaanishi kuwa nilichoandika
hapa ndio
 iwe katiba yenu katika kutombana, bali ni
mwongozo na ambao
 umegusia yale yaliyo ya muhimu sana ambayo
aghalabu wanawake
 wote ndio wanayataka. Kwa yale ambayo
yamepungua, wanawake
 wenyewe watafunguka hapa na kuyaeleza, na
kwa yale ambayo
wanadhani hayako sawa....ruksa kuyarekebisha
pia. Otherwise,
 hapa ni mambo 11, ambayo mwanaume
ukiyafanya kwa
mwanamke wako, hakika utakuwa umejijengea
ulinzi wa yeye
mwenyewe kujilinda dhidi ya mwizi au dokozi
yeyote huko nje.

#1 – Mfanye akojoe kabla hujamuingia
Inawezekana likaonekana jambo geni na la
kushangaza kidogo,
 lakini ukweli ndio uko hivyo. Hili ni jambo
ambalo wanawake
wengi wangelipenda kufanyiwa na wapenzi wao
lakini ambalo
 wanaume huwa hawalifanyi. Wengi huwaandaa
wanawake kwa
 lengo la kuhakikisha kuwa wametepeta kwenye
kuma, kwa
 maana ya kuwa wamelainika ili kuwezesha wao
kupenya kwa
 urahisi, lakini wanawake wengi wangependa
zaidi ya hapo.
Ikiwa mwanaume utaweza kumfanya mwanamke
akojoe
 kabla ya kumuingilia, unajiongezea nafasi ya
kumfanya
 afurahie lile tendo la kutiana zaidi na kukuweka
miongoni
 mwa wanaume walio bora kabisa wa maisha
yake.
Hii humfanya awe tayari yuko kwenye hali ya
kuhitaji
 tu kuingia kwa mboo yako aweze kupiga bao la
pili,
 na hii inamaanisha kuwa inaweza kuwasaidia
sana wale
 ambao huwa wanakabiliwa na tatizo la kukojoa
haraka sana.
Hata ukipigwa bao la usoni sawa tu...Mruhusu!!!

#2 – Vumbua maeneo mengine yenye
kumsisimua
Ndio, sote tunajua kuhusu matiti, kisimi,
kiharage,
 kunyonya ulimi na mengine, lakini hadithi
haitakiwi
kuishia hapo tu. Kama ambavyo wanaume
wamezoea
 baadhi ya maeneo yenye kuelezwa kuwa
yanamsisimua
 sana mwanamke, ndivyo ambavyo nao huzoea
sana kusisimuliwa
 kupitia maeneo hayo. Hii maana yake ni kuwa,
unaweza kujikuta
 unazama kwenye ile hali ya kuzoeleka sana,
ambapo akikuona tu,
 anakuwa tayari anajua huyu ataanza hapa,
ataishia pale na atakojoa
 namna hii. Hili haliwezi kumsisimua
mwanamke.
Mwili wa mwanamke, una maeneo zaidi ya 16,
ambayo
 yakichezewa au kuguswa kiufundi wa kimahaba,
huweza
 hata kumfanya mwanamke huyo kukojoa kabla
ya kuingiliwa.
 Tumezoea G-Sport kwa mfano, lakini ni wangapi
tunajua
 kuhusu U-Spot katika uchi wa mwanamke?
Wangapi
 tunajua kuhusu A-Spot? ..... ufahamu vizuri
mwili wa
 mpenzi wako, na uuzingatie wote kwa ujumla
wakati
 wa kurahatupuika naye, na hakika utakuwa
shujaa wake.
Matiti yakisisimuliwa vizuri ni kiungo cha ajabu
kwa mwanamke!

#3 – Usiwe kama kuku
Ndio, licha ya kuwa hapo awali tunaambiwa
kuwa ikiwa
 utaweza kumfanya mwanamke akojoe kabla ya
kumuingilia,
 unamjengea mazingira ya kukojoa haraka pindi
unapomuingilia,
lakini haimaanishi basi uwe kama kuku au risasi,
kwamba
 ikishachochewa tu basi inachomoka kwa spidi
isiyomithilika.
Mwanaume kumudu kudumu kwenye kutiana
kwa muda wa kutosha,
 ni moja ya mambo yenye kumjengea heshima
kwa mwanamke wake
 na kumuona kuwa yu shujaa. Sometimes, pumzi
zako kitandani
zinaweza pia kutafsiriwa kuwa ni pumzi za
mtaani, na kama kitandani
 hauko nazo za kutosha, itakuwaje siku
mmevamiwa mkiwa matembezini
 na watu unaotakiwa kupigana nao?
Tofauti kubwa sana baina ya wanaume na
wanawake ni kuwa,
 wanaume wengi hutombana kwa minajili ya
kukojoa, ilhali
 wanawake hutombana kwa minajili ya
kustarehe. So,
usiifanye starehe hiyo kuwa ya dakika
moja...lakini pia
 usiiifanye kuwa ya kukarahisha, kama ambavyo
wanaume
 wengi wanaamini kuwa kumsugua mwanamke
uchi hadi
akahitaji barafu la kujikanda ili ipoe, ni ushujaa.
Nusu saa
 hadi dakika 50 ni muda muafaka kabisa, na
zaidi ya dakika 60,
kwa wanawake wengi inaweza kuwaondolea
sence ya starehe
 na wakajiona kama wanalipishwa
walicholishwa.

#4 – Maandalizi ya kumpa mshawasha wa
kuihitaji
Ndio, wapo wanaume wengi tu, hata humu
Darasa La
Watu wazima wanaoweza kujinadi kuwa wanajua
kuwaandaa
 wanawake zao kwakuwa wanajua kuwanyonya
visimil kunyonya
 matiti nk, lakini ukweli ni kwamba wengi hatuko
hivyo. Kama
 ambavyo nimetanabaisha hapo awali, asilimia
kubwa ya
 wanaume huwachezea wanawake sio kwa lengo
la kuamsha
 hisia zao kwa ajili ya kutiana, bali kwa minajili
ya kuwafanya
 wapate ule ute ambao utawarahisishia wao
kuingia.
Kitu kikubwa wanachopendelea wanawake, ni
aina ya
 mwanaume ambaye anaweza kumfanyia
vimichezo vya
 kumtia nyege hadi ikiwezekana aanze kuililia
mboo.
Jidai kama unataka kumnyonya kisimi, lakini
usifanye hivyo,
 pumua usawa wa mdomo wa kuma yake kiasi
cha kumfanya
 ahisi pumzi yako, mlambe mapajani...sio lazima
kila siku iwe
 kwenye tundu la kuma....... haya ni baadhi ya
yatayomfanya
 aanze kutamani kwani unakuwa tofauti tofauti,
na ukiamsha
 hisia zake kwa namna ya kipekee. Na hili basi
ndilo lenye
 kupelekea umuhimu wa jambo jingine lifuatalo
ambalo
 wanawake hulihitaji....cheki namba 5 hapa chini
Tumichezo kama hutu twa tunasaidia...

#5 – Kutiana kwa ulimi/mdomo
Inashangaza sana kwa kweli...wakati wanaume
 wengi wamekuwa wakijisifia sana kwa
kuwafanyia
 maandalizi wenza wao, tafiti zinaonyesha kuwa,
 zaidi ya asilimia 70 yao wamekuwa wakieleza
 kuwa wanafanya hivyo kwa kutumia tu vidole
vyao.
Sawa na ambavyo asilimia 70 ya wanawake
walisema
kuwa wanadhani kwa kutumia tu viganja vyao
wanaweza
 kumfanya mwanaume akasimama vya kutosha
kuwaingilia.
Ukweli ni kwamba, hii sio sahihi kabisa.
Umepewa viungo
 zaidi kwa ajili ya kumfanya mwenzako aweze
kufurahia
 tendo la ndoa,
 na ikiwa unaweza kuvitumia, kwanini unavibania
bania?
Unaona kinyaa kwa mwenza wako au ni nini
hasa?
Tumia ulimi wako, mnyonye kila mahali ambako
 unadhani ulimi huo unaweza
 kufika na ukamfanya aseme "Oh...am going
crazy"




#6 – Msisimue kwa kauli zako
Wanaume wengi sana huwa mabubu wawapo
kitandani wakihofia kuwa wapenzi wao
watawafikiria
 namna gani vipi wakisema sema wakati
wanatombana
nao...lakini mbona wengine huwa wanaishia
kupiga
 makelele wanapotaka kushusha mizigo yao?
 Kama unaweza kushindwa kujibana kupiga
kelele
 wakati wa kukojoa, kwanini basi ujizuie kumpa
 maneno matamu matamu wakati unaendelea
kumstarehesha?
Nong'ona kwenye sikio lake, mweleze kiasi gani
ni mtamu...
.hata zile oooh....sss....mmmm zako, zifanye
sikioni kwake....
.wanawake huwa hawajisikii raha sana
wanapokuwa
wanaguswa hata kwenye kitu gani wakati wa
kutiana,
 ikiwa mwanaume yuko kimya tuuu, utadhani
dumwana
 ambalo linashangaa kilichoko mbele yake.
Anakuwa hajui kama unaenjoy anachokifanya
kwako au laa.
 Ni sawa na wewe mwanaume, unajisikiaje pale
unapokuwa
 umemgusa mwanamke mahali fulani penye
mzizi wa utamu
 na akaanza kukwambia kwa ile sauti ya
kipekee
akisema "hapo hapo...hapo hapo jamani
raaaha"....
 Epuka tu sauti yako isiwe ambayo itamfanya
anywee
 kama alomwagiwa maji ya baridi ilhali alikuwa
anakaribia
 kuanza kuelea angani.
Unaweza kumsifia hata kabla gemu
halijaanza....

#7 – Jenga mahusiano ya macho yenu
Hivi, ishakutokea ukakojoa ukiwa unamtizama
mpenzi wako
 machoni kwa muda wote wa tukio hilo tu la
kukojoa?
Au kumtizama machoni moja kwa moja yeye
akiwa anakojoa?
Kwa taarifa yako, hili ni moja kati ya mambo
yaliyo na raha ya
 kipekee ambayo huwezi kuelezea kwa maneno.
 Mawasiliano ya macho wakati wa kutombana,
huimarisha sana ile hali ya msisimko baina yenu
na
 ikiwa inatokea mwanamke uliye naye alishawahi
kutokewa
 na mwanaume ambaye wakati wanatiana
alikuwa akimtizama
 usoni moja kwa moja, basi si ajabu
mtapomaliza akajitoa
 kimaso maso na kukuuliza "mbona ulifumba
macho wakati
unakojoa", na hapa atakuwa akimaanisha kuwa
kuna ulichomnyima.
Mwanaume, jitahidi kubadili utaratibu wa kila
siku kuzima
 taa wakati mnatiana, acha taa ziwake wakati
mwingine,
 na zipo taa ambazo zenyewe tu kwa uwezo wa
rangi zake,
 huwafanya mjihisi mko dunia nyingine kabisa,
kumbe ni
 kwenye kitanda chenu kile kile ambacho kila
siku mnakitumia.
 Mazoea ni mabaya, lakini haimaanishi kuwa
hamuwezi kubadilika,
 na ikiwa unaweza kuongoza jahazi la mabadiliko
haya, akizoea
 hakika atakuwa akikufurahia zaidi.

#8 – Mzingatie baada ya kumaliza
kurahatupuika
Jambo moja ambalo wanaume wanafanya
makosa,
 ni kumu-ignore mwanamke punde wanapokuwa
wamemaliza kutiana. Hawajui kuwa, huu ni
muda
ambao mwanamke anakuwa yuko wazi mno
kwao, muda
 ambao unaweza kumueleza lolote na
akakuelewa zaidi ya
 ambavyo angekuelewa wakati mwingine wowote
ule.
 Kimaumbile, wanawake hawakuumbwa kupoa
haraka
pindi wanapokuwa wamemaliza lile tendo la
kutombwa.
So, unaweza kuwa umemkojolesha na kumgusa
kila angle
 ambayo unaijua, lakini kitendo cha
kumkumbatia, ukampiga
 busu na kumwambia "asante", huku ukimruhusu
alaze kichwa
 chake tu kifuani mwako kwa kupumzika, kina
maana kubwa
sana, iliyo sawa au hata zaidi ya kitendo
mnachokuwa mmetoka
 kukifanya. Huu ni wakati wa kummwagia kila
aina ya sifa ambayo
 anaistahili, na ndio muda muafaka wa
kumuandaa kuwa na hamu
ya wewe safari nyingine utapomhitaji.

#9 – Mpe fursa ya kuliongoza jahazi kwa niaba
yako
Wanaume wengi sana wameumbwa kutaka kuwa
vinara
 kwa kila kitu, hata wanapokuwa kwenye
kutiana, hupenda
wao ndio waongoze kila move. Sio mbaya
kwasababu
wanawake nao wameumbwa kuwaongoza
wanawake na hilo
 linaeleweka. Ni kweli kuwa una wajibu wa
kuhakikisha
 unamgusa kila anapotaka, umfikishe kileleni
anapopaota,
 lakini kwa upande wa pili, kuna asilimia kubwa
tu ya wanawake
 ambao wangependa sana kupewa fursa ya wao
kutawala
dimba wakati wa mchezo.
Sio suala la kumwambia, leo mie nitalala tu na
kukuacha
 uhangaike na mboo yangu
unavyotaka,laa...atakuona mdhaifu,
 uliyechoka au unayemsusia tu. Kwa kutumia ile
ile dhana ya wewe
 kuongoza jahazi, hakikisha unatengeneza
mazingira ya yeye
 kuutawala mchezo na kuongoza mashambulizi
kuelekea anakoona
 kuwa mshambuliaji atafunga goli la msimu.
Wanawake wana-enjoy
 sana wanapoona kuwa wanaume wao
wamewapa mamlaka ya
 kutawala dimba, kwani hiyo huwajengea fikra za
kuwa wanaaminika
 kiuwezo, kiuchezeshaji na hata kiumaliziaji.
Wapo mfano wanawake ambao hupenda sana
kunyinya mboo za
wapenzi wao hadi kukojoa, lakini anapotaka
kujaribu tu, unakuta
 janaume hilo, linamwambia aaah, mie sipendi
hiyo....au anamuacha
 ila akikaribia anaanza kumwambia acha
nitakojoa .... si umuache?
 Kwani unadhani yeye hajui kuwa akikunyonya
utakojoa? Mpe nafasi,
 anyonye anavyotaka, hata kama ni kukojoa,
mkojolee mdomoni tu,
 maana yu ajua kuwa ndio mwisho wake, lakini
kwakuwa anataka
 umtombe, lazima atajua pia namna ya
kukurejesha askari wako
awe mkakamavu.
Hata kama akitaka "akutombe" mruhusu tu...!!!

#10 – Ondoa mazoea
Wanaume ni watu wa ajabu sana. Wakati
wanaweza
kujisifia hadharani kuwa naweza kumfanya hivi
mwanamke,
 nikamgeuza vile, nikamnyanyua hivi na vile, tafiti
za kisayansi
zinabainisha kuwa, asilimia kubwa ya wanaume,
huwa hawapendi
sana kuwataka wapenzi wao kubadili staili
wakati wa kutombana.
 Ndio, inawezekana mnatumia staili mbalimbali,
lakini sio kwasababu
 mnaambiana, bali kwakuwa unaweza kuta leo
imetokea mwanamke
alijiteka kifo cha mende, basi utaendelea...kesho
akijitega mbuzi kagoma
 kwenda, itaendelea hivyo hivyo.
Uchunguzi ambao umethibitishwa na wataalamu
ni kuwa,
 wanawake huwapenda sana wanaume ambao
wana uwezo
 na courage ya kuwataka wabadili mikao
wanapokuwa
wakiendelea na game. Ni kama mchezaji wa
football vile,
anavyowasisimua watazamaji pale anapoanza
ku-invent mbinu
za kubadili mchezo wakati mchezo ukiwa
unaendelea.
Hata kubadili mazingira tu yaweza kuleta
msisimko wa kushangaza !

#11 – Kuwa mwenye shukrani
Kama ulidhani kuwa shukrani kwa mwenzako ni
asante tu, basi
 ulikosea. Hivi, unadhani wale makahaba
wanaouza miili yao kule
 huwa hawaambiwi asante kwa huduma zao?
Wanaambiwa sana tu,
 lakini mbona hawawakubali wale wote wenye
kuwashukuru?
Shukrani kwa mwenza wako inatakiwa iwe ya
kivitendo zaidi
. Ufanye mwili wako uonyeshe kuwa unashukuru
kwa vile anavyokupa
mwenzako, kabla hata ya kutamka kwa mdomo
wako kumshukuru.
 Kushukuru kwa mwili ni pamoja na kuwa
"gentle" wakati wa kutombana
kwenyewe, na sio unakuta mtu unakazana
kumsugua mwanamke wako
utadhani unadhamiria kuhakikisha kuwa unafidia
bia ulizomnywesha,
au mahari kubwa waliyokulipisha wazazi wake
wakati wanakukabidhi
 (kama ni mkeo wa ndoa) Natumaini somo
umelielewa ndugu msomaji
 wa makala hii,tuonane tena wiki ijayo.


CREDIT:PAMOJASISI BLOG.

No comments:

Post a Comment