Saturday, 31 May 2014

PICHAZ.......JINSI MKUDE SIMBA ALIVYOMPAGAWISHA PENNY.


Hehehehe mimi sina chakuongeza hapo.....Ila
kaka yetu (MKUDE SIMBA)
kama hakuwa COMFORTABLE hivi.....Hawa
madada wa mjina NOUMA SANA.
..siunakumbuka ile ya DIVA [KAMA ULI-MISS
SOMA HAPA]sasa ni ya PENNY
 ( yeah yuleyule aliekuwa wa Diamond P)
Ila tuache utani huu Mkisi una ma hisia hadi
macho kufumbaaa...
..Hii nawaachia mmalize wenyewe!!!
KISHA KAANDIKA


No comments:

Post a Comment