BAADA YA KUACHANA NA MAWIGI,HUU NDIO MUONEKANO MPYA WA LULU.
Huyu si mwingine bali ni mdogo wetu
aliekulia kwenye TV (kwasisi wa miaka
ya 80 )...yaaani ana TV personality
toka LONG , kwa hapa Bongo ni staa
wetu tumependwa na wengi (pamoja na
mimi toka kitambo)
No comments:
Post a Comment