Mwanaume mmoja ambaye ni muokota chupa
maarufu aliyetambuliwa kwa jina moja la Hamad
anadaiwa kunusurika kufa katika nyumba moja
ya kulala wageni iliyoko eneo la Manzese jijini
Dar kufuatia kuthubutu kwake kufanya ngono na
makahaba wawili kwa pamoja…..
Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo,
inaelezwa kwamba mara baada ya Hamad
kujipatia pato lake baada ya kuuza chupa za
plastiki,alikwenda kuwanunua makahaba hao na
kuwataka wakafanye ngono shirikishi…..
“Hawa makahaba kazi yao ni kuuza
miili,walipomuona amekwenda na pesa nzuri
wakamkubalia,kumbe huyu bwana kula yake ni
ndogo, mwilini kwake kumejaa gongo tu na wala
hana chakula cha kutosha.Walipokuwa chumbani
wanawake hawa walimzidi nguvu akapoteza
fahamu” Alisema shuhuda
Aliongeza kwamba makahaba hao walikuwa na
utu, baada ya kumuona hajiwezi walimtoa
chumbani na kumpeleka uwani ambako
walimmwagia maji mpaka akazinduka….
Hata hivyo inaelezwa kwamba, baada ya
kurejewa na nguvu kama kawaida, Hamad
alitaka tena kuingia chumbani na warembo hao
ambao walimkatalia na kutishia kumtelekeza
akizingua tena….
No comments:
Post a Comment