Official fan blog "Classmate" is one among Bongo Classmates properties... It's all about reporting of Current affairs..
Sunday, 25 May 2014
MCHAWI ADONDOKA BAADA YA KUCHOKA KUPAA(STORI NZIMA NA PICHA ZOTE VIKO HAPA).
Haya maajabu kweli! Huyu mzee alidondoka toka
juu baada ya kuchoka kuruka kama ndege.
Mtu mmoja aitwaye Chike ametoa ushahidi
kwamba
aliona ndege watatu wakipaa angani na baada
ya muda wawili wakaanza kupigana kitu
kilichopelekea ndegwe mmoja kudondoka na
kubadilika kikongwe um wonae hapa juu. Chike
anasema mzee huyo aliumia sana baada ya
kudondoka kwani mkono wake mmoja wa mbele
uligusa waya wa umeme akiwa anadondoka.
Baada ya mzee huyo kukamatwa na watu wenye
hasira kali aliweza kukukiri kwamba yeye ni
mchawi na alikuwa na wenzake ambao
walimwacha baada ya yeye kudondoka ,anasema
walikuwa mkutanoni nchini Nigeria na
walipomaliza walianza safari kurudi
makwao.Kikongwe huyu alisema safari yakurudi
haikufanikiwa kwani usiku mzima walijikuta
wanazunguka Lagosi, na anasema alidondoka
kwasababu alichoka kuruka.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment