Tuesday, 6 May 2014

MANDEVU RECORDS...........(TETENUS).

      Wasanii wa Mandevu Records
      Wakiwa na Producer Bujju,Bhabi
                    Na Razakey.



Ni studio ya muziki inayojishughulisha na kurekodi na uandaji wa kazi zinazotumia sauti.Kazi hizo zinajumuisha uandaaji wa nyimbo,matangazo,jingles na hata maigizo yanayohusisha sauti tu.Chanzo cha kuaminika kilisema kuwa "Mandevu ilianzishwa zamani sana ikiongozwa na former rapper wa W.T.C ambaye pia ndiye mmiliki wa studio hiyo aitwaye Bujju.Pia kulikua na producer Bhabi ambaye alikuja kuwa assistant producer wa Mandevu Records.
            Producer Bujju wa Mandevu Records akiwa na G-Voice wa chuchu Fm.


Mandevu Records inamikikiwa na Bujju na ina wasanii wapatao kumi na tano ambao wapo label lengo likiwa ni kuwasaidia vijana kupambana na umaskini.Hata hivyo,producer Bujju (Tetenus) amekua na moyo mkarimu katika kuwasaidia vijana wadogo ambao wanafanya mziki.Wasanii kama Young Mo,Classmate na Mwangaza watakuwa mashahidi katika hicho nilicho kisema.



      Bujju akiwa na Producer Makonelah
       Wa Makonelah Records.


Inasadikika kuwa "ufalme wa Zeetown fleva" upo Mandevu Records,hii ni kutokana uandaaji wa kazi nzuri na za kuvutia kama vile Muungano ya Hood C,Hoi ya Non-such na Raybo,Hustle ya Classmate,Punch kwa punch ya Chiwileinc na kadhalika.
    "ka"Chiwile kakiwa na Bujju(tetenus)
                 Na Wote.



Wapo kikwajuni,Zanzibar karibu na uwanja wa Mao.

 Kwa mawasiliano zaidi:
Piga: +255713062186.
Facebook: Buju Mandevu.

Listen to this dope and marvelous track produced by Mandevu Records---------> Track........Hoi By Nonsuch & Raybo......from Mandevu Records.


No comments:

Post a Comment