Official fan blog "Classmate" is one among Bongo Classmates properties... It's all about reporting of Current affairs..
Friday, 30 May 2014
PICHAZ....LULU ATEMBEA "NIDO" NJE.
MSANII wa filamu Bongo, Elizaberth Michael
‘Lulu’ hivi karibuni aliwashangaza watu baada
ya kuvukwa na gauni alilokuwa amevaa na
kulazimika kutembea huku sehemu kubwa ya
kifua chake ikiwa wazi.
Msanii wa filamu Bongo, Elizaberth Michael
‘Lulu’.
Tukio hilo lilitokea hivi karibuni katika kiwanja
kimoja kichopo mjini Arusha ambapo mmoja wa
watu aliyemtia machoni Lulu aliyeomba hifadhi
ya jina lake alisema:
“Yaani nilimuona Arusha akiwa amevaa gauni
lililoacha wazi matiti yake, kaficha chuchu tu na
inavyoonekana gauni lilimvuka, akaonekana
akihangaika kulirudishia bila mafanikio.”
Labels:
bongomovie,
Lulu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment