Sunday, 25 May 2014

DIVA KUMKINGIA KIFUA MWANADADA WA CHUO ALIYEJIREKODI VIDEO YA UCHI.





Baada ya yule mwanafunzi wa chuo kujirekodi
akisema shule imemshinda bora tu aolewe bure
na mwanaume lakini awe na pesa kupigwa chini
CHUO (inasemekana lakini).....Mwanadada Diva
the Bawse, mtangazaji wa CLOUDS FM
ameibuka na kushangazwa na kitendo cha
mwanafunzi huyo kufukuzwa chuo....




Kupitia ukurasa wake wa INSTAGRAM, DIVA
aliweka picha na video clip hiyo na kuandika
hivi; "khee!!?kwani mtu akiwa malaya anajiuza kuna sheria yoyote ya kumfukuza chuo???!"
Hii hapa Ndio Post Yenyewe.




No comments:

Post a Comment