hivi ndivyo instagram ilivyomliza zamaradi mketema.
Haikuwa siku nzuri kwa presenter maarufu wa Clouds Tv Zamaradi Mketema,
baada ya tukio lililomtokea kwenye ukurasa wake wa instagram siku ya
Baba duniani, Ishu nzima ni pale Zamaradi alipojaribu kuandika ujumbe
mrefu alafu kwa bahati mbaya, wakati anajaribu kupost huko instagram,
kitu kikagoma kwenda na kumfanya apoteze ujumbe huo wake mreefu,
aliokuwa ameuandika kwa moyo wote na kwa hisia kali, kama unavyojua
kuandika kitu upya inakuwa ina utofauti na uandishi wa mwanzo haswa pale
ilipombidi kurudia upya kuandika, hivyo kumfanya akate tamaa kabisa,
Zamaradi alifunguka zaidi kuelezea mkasa mzima uliomtokea, alifunguka
hivi:
“DAH!!!!
posted something about my DAD tangu jioni saa 12…. imekataa ku upload… i
expressed almost everything about HIM/about ME… i wrote MY FEELINGS…
And u know once you write kitu kwa hisia its hard kukirudia….maana
nilikuwa naandika huku machozi yananitoka…I MISS HIM KIUKWELI….And I
feel so sad for that post kutokwenda!!! hivyo iko kama unavyoona with
alama ya X na kile kialama cha kurudia tena… i keep on kurudia everytime
naogopa.kubonyeza X isipotee moja kwa moja but imegoma.. maybe ilikuwa
ndefu i dont know!!! NAULIZA.. kwa wataalamu is there any way that
nnaweza kurudi back na kukuta nilichokiandika ili niweze kuedit!!!!?
Maybe… please guys i need your help yani.. kama kuna hiyo njia kwa
mnaojua… km hamna tena basi nipumzike tu… #majanga“-alimalizia Zamaradi.
No comments:
Post a Comment