Tuesday, 3 June 2014

MTOTO NASRA AAGWA UWANJA WA JAMHURI MORO...

Umati wa watu uliofurika kwenye Uwanja wa
Jamhuri mkoani Morogoro kuaga mwili wa
Nasra.


Wanafunzi wa Shule za Msingi Mkoani
Morogoro nao walijumuika kumuaga mtoto
Nasra Rashid katika Uwanja wa Jamhuri Mkoani
Morogoro.

No comments:

Post a Comment