Jione mwenyewe......Tuache Mungu aitwe Mungu.
Ukistaajabu ya Musa utaona ya firauni,,,wacha Mungu aitwe Mungu.Kijana asiye na mikono wala miguu mwenye asili ya kizungu ana uwezo wa kufanya kazi nyingi ambazo yeye huhitaji kuzikamilisha.
"I love to travel,i love golf,i love to swim"anasema kijana huyo ambaye hakika ukiona video yake unaweza kulia.
Tazama hapa hiyo video:-
No comments:
Post a Comment