Tuesday, 27 May 2014

UWAZI KUHUSU JACK WOLPER NA NEY WA MITEGO.

Jackline Wolper amefunguka kuhusiana na moja
ya shutuma zinazoendelea kumkabili kila
anapoamka. Mdada huyo mwenye kujituma sana
amefunguka kuhusu shutuma za kumuhusisha
yeye na msanii mkali wa Hiphop , Ney wa
Mitego. Mwanadada huyo akiongea na Vibe
Tanzania alidai hajawahi kuwa hata na number
ya Ney wa Mitego sasa akisikia kwamba ana
mahusiano na mwana Hiphop huyo anashangaa
sana kwani hata hajui maana halisi ya kuzagaa
kwa maneno hayo yasiyo na maana wala
source.




Wolper aliendelea kufunguka kwamba hayuko
tayari kusikia uzushi huu ukiendelea na wala
hatowaacha wanaosambaza umbea huu kwani
hajui nia yao. Msanii huyo amekua akiandamwa
na romours moja baada ya nyingine kwani
alipewa scandalz ya kusagana kabla haijapotea
imeingia ya Ney wa Mitego huku Wolper huyo
huyo akihusiswa kuwa na mahusiano na G
model.

No comments:

Post a Comment