Wednesday, 7 May 2014

LADY JAYDEE KIBOKO YAO.........ANACCONDA.

Imezoeleka kuonekana mara nyingi katika mitandao ya kijamii Lady jaydee ajibizana na mashabiki zake au hata watu wengine wanaotokea kupost vitu kuhusu yeye.

Mfano mzuri ni kipindi kile alipokuwa akijibizana na Mh.January Makamba.
Hivi karibu ilitokea hivi.



Shabiki alitoa hisia zake......nae bila hiyana Jide akajibu.........!



Hahahahahahahahaha............bora nicheke maana ni shida.

No comments:

Post a Comment