Tuesday, 6 May 2014

ALL ABOUT "SIKATI TAMAA " REMIX BY DARASSA FT GODZILLAH &JOH MAKINI.

              Darassa and Roma......during
Sikati tamaa video shooting.


Life is all about hustling sons....tafuta njia n'
make it....!
I would to dedicate this nyimbo ambayo ni
Remix ya Sikati tamaa.It was composed by
Tanzanian male rappers ambao pia ni special
icons ktk mziki huu wa HIPHOP particularly in
Tzee...this includes Godzilla,Darassa & Joh
makini...!


Vitu vyote ambavyo vimeimbwa ndani ya
nyimbo hii ni real life ambayo wengi wetu
tumepitia.
Elimika na buruka kwa hii fabulous track
ambayo inapatikana hapa---> http://
www.hulkshare.com/lsgagk4vtmha/darasa-ft-
godzilla-joh-makini-sikati-tamaa  ......!

Lyrics zake ni hizi hapa :-

Darasa ft Godzilla,Joh makini, Ben
Pol - Sikati tamaa
(remix)

Godzilla

toka mdogo maisha yangu
hayakuwa simple
miako mitano gerezani kariakoo
nauza sizo
mtaa umenitengenezea attitude ya
ki'gangsta wenzangu wamelala, mi niko mtaani
naokota scrapper
bila mi, machizi hawaamini ka Zilla ni
Genius
blaza ananipa hela ya rizla karoll
palipers maza ana amini hakuna hela bila
skuli
huku mtaani tunaamini bila kamari ni
hatuli
matunzo ya mtaa, one night na
dream ya ku'push limo machizi wanaenda
south, border
viva frelimo
maisha ya mtaa sio ishu, mlo mmoja
kwa siku
machizi wanakula mpakani mwa
mchana na usiku dada, i miss you, mi ni mtoto
wa mtaa
you know my disease, im so black na
kila bidhaa we sell
nikizipata nigga so dont be mad at
me
mi ni mtoto wa mtaa and im above so high

even though our life is harder
life is harder life
mi skati tamaaa, tamaa, tamaaa
siku moja nitapata
Sijali siku nimekosa, nimepata,
nimekula nimeshinda njaa mi skati tamaaa,
tamaa, tamaaa
siku moja nitapata

Darassa

mfano mi nimelelewa kwenye mtaa
sio wale wa "mommy im going i need
to use your car"
baba yangu alimpata mdau,
kaachwa mama kwenye mataa
kawekwa ndani kama mwali na mwanamke kisa
njaa
Mungu kama kanisahau, ila bado
naomba dua
Nashkuru, kwa nafasi mdogo mpaka
nakua
kwenye amani ya mkopo, Mapenzi ya kununua
Utaniliteaga mimba hata godoro
sijanunua
Watoto wa siku hizi ndo maana
mengi wanayajua mapema
Maana wanacheza walichoona kwenye Sinema
Magazeti kila siku ni ya Diamond na
Wema
Wakati mtaani kuna vitu vingi vya
kusema
Oh my God!, wear miwani niione vyema dunia
Sijutii, kuwa mtaani na sjapanga
kuikimbia
Amani kwenye njaa ka maisha ya
Mtanzania
Na refa anaita kati na mfungaji kavizia
God damn!

even though
our life is harder
life is harder life
mi skati tamaaa, tamaa, tamaaa
siku moja nitapata
Sijali siku nimekosa, nimepata,
nimekula nimeshinda njaa mi skati tamaaa,
tamaa, tamaaa
siku moja nitapata Yeah

Joh makini

Navuja jasho, bado Pesa ni
nyekundu tu
nna'window 'shopper' kwenye duka
la maisha ya juu
mautundu jua uskaripie level kaza full
uskate tamaa ukaacha uhalisi
watu hushonea department officially
ya jamii
usizikodi apartment kamjengee
mama jonii ukiacha nilipofikia ni kina nani watu
wa dunia
uliposhika shikilia more peace kwa
familia za wahanga
pole mtanzania kaza na usichoke
kuzipanga ukijituma kupangua vipindi baridi
kali na kwa jua tukiungua
kinachowaumbua ukweli, kitaa
chote kinaujua
usikate tamaa iwe nuru kwa kizazi
hiki ambacho kweli naogopa wanasiasa
wanapewa ngazi
chapa kazi, jenga msondo niongoe
makwaito ni sauzi
kazwa na kitu yako mashauzi
mwachie '.isha'
The river camp kwa maisha na hizi ndo
simulizshi 

even though our life is harder
life is harder life
mi skati tamaaa, tamaa, tamaaa
siku moja nitapata
Sijali siku nimekosa, nimepata,
nimekula nimeshinda njaa mi skati tamaaa,
tamaa, tamaaa
siku moja nitapata

HUSTLE HARD N' MAKE IT......WAGWAAN

No comments:

Post a Comment