Video ya wimbo mpya wa Ommy Dimpoz
‘Ndagushima’ ilitambulishwa jana jioni kwenye
kituo cha TV cha MTV Base kwenye show yake
ya Best of Spanking New.
Na sasa itazame kwa mara ya kwanza hapa.
Take a look.
NB:It can only be watched by those who are using advanced applications i.e web,android,smartphones.
No comments:
Post a Comment