Wednesday, 28 May 2014

TASWIRA YA KIM NA KANYE SIKU YA NDOA YAO.


...Mke na mume ambao ni Kim Kardashian na
Kanye West wakiwa wameshikana mikono baada
ya kufunga ndoa.


Kim Kardashian na Kanye West wapigana busu
baada ya kufunga ndoa Jumamosi
iliyopita, Forte di Belvedere Florence, Italia.




Kim akiwa ndani ya gauni lake la harusi siku ya
ndoa yake huko Forte di Belvedere Florence,
Italia.

No comments:

Post a Comment