Official fan blog "Classmate" is one among Bongo Classmates properties... It's all about reporting of Current affairs..
Saturday, 17 May 2014
DIAMOND AKIWA KWA STAGE KWENYE SHOW YA MTVBASE BILLICANAS.
Msanii ambaye yupo juu kwenye gemu ya muziki
wa kizazi kipya Diamond akifanya onesho LIVE
chini ya udhamini wa MTVBASE ROAD TO MAMA
iliyofanyaka Club Bilicana usiku wa Ijumaa May
16, 2014 na baadae kuruka kuelekea Uingereza
ambako leo atafanya onesho lingine. Onesho la
Bilicana lilijumuisha wasanii mbalimbali ambao
wamekuwa Nominated na MTV. Diamond
amefanya onesho hilo akiwa ametokea Uingereza
alipokuwa amekwenda kutengeneza video ya
wimbo wake mpya na baada ya onesho hilo
alitarajiwa kukwea pipa na kurudi tena Uingereza
ambapo kumetangazwa atafanya onesho lingine
leo Jumamosi katika Club ya Malibu
wakishirikiana na BONGOUK.
KWA STAGE
Labels:
Diamond platnumz
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment