Tuesday, 6 May 2014

KILIMANJARO TANZANIA MUSIC AWARDS.....KTMA



1. WIMBO BORA WENYE VIONJO VYA
ASILI YA TANZANIA -Bora Mchawi,
Dar Bongo Massive
2. MSANII BORA CHIPUKIZI
ANAYEIBUKA -Young Killer
3. WIMBO BORA WA ZOUK -Yahaya, Lady
Jaydee
4. WIMBO BORA WA AFRO POP -
Number One, Diamond Platnumz
5. WIMBO BORA WA RAGGA /
DANCEHALL -Nishai Chibwa Ft Juru
6. WIMBO BORA WA RAGGAE -Niwe na wewe,
Dabo
7.WIMBO BORA WA TAARAB -
Wasiwasi wako, Mzee Yusuf
8. KIKUNDI CHA MWAKA CHA
TAARAB -Jahazi Modern Taarab
9. MWIMBAJI BORA WA KIKE TAARAB -Isha
Ramadhani
10. MWIMBAJI BORA WA KIUME
TAARAB -Mzee Yusuf
11. WIMBO BORA WA KISWAHILI
BENDI -Ushamba mzigo, Mashujaa
Band
12. MWIMBAJI BORA WA KIKE BENDI
-Luiza Mbutu
13.MWIMBAJI BORA WA KIUME
BENDI -Jose Mara
14. RAPA BORA WA MWAKA BENDI -
Furguson
15. BENDI YA MWAKA -Mashujaa
Band
16. MWIMBAJI BORA WA KIKE,
KIZAZI KIPYA -Lady Jaydee
17. MWIMBAJI BORA WA KIUME,
KIZAZI KIPYA -Diamond
18. KIKUNDI CHA MWAKA CHA
KIZAZI KIPYA -Weusi
19. WIMBO BORA WA RNB -Closer,
Vanessa Mdee
20. WIMBO BORA WA HIP HOP -Nje
ya Box, Nick wa Pili Ft Joh Makini & Gnako
21. MSANII BORA WA HIP HOP -Fid Q
22. WIMBO BORA WA
KUSHIRIKISHA / KUSHIRIKIANA -
Muziki Gani, Nay wa Mitego ft
Diamond
23. WIMBO BORA WA AFRIKA
MASHARIKI -Tubonge, Jose
Chameleone
24. MTUNZI BORA WA MWAKA
TAARAB -Mzee Yusuf
25. MTUNZI BORA WA MWAKA BENDI -
Christian Bella
26.MTUNZI BORA WA MWAKA KIZAZI
KIPYA -Diamond
27. MTUNZI BORA WA MWAKA HIP
HOP -Fid Q
28. MTAYARISHAJI BORA WA NYIMBO WA
MWAKA, TAARAB -
Enrico
29. MTAYARISHAJI BORA WA
NYIMBO WA MWAKA, BENDI -
Amoroso
30. MTAYARISHAJI BORA WA NYIMBO WA
MWAKA, KIZAZI KIPYA -
Man Water, Combination Sound
31. HALL OF FAME, INDIVIDUAL -
HassanBItchuka
32. HALL OF FAME, INSTITUTION -
Masoud Masoud
33. VIDEO BORA YA MUZIKI YA
MWAKA - Number One, Diamond
34.WIMBO WA MWAKA -Number
One. Diamond
35. MTUMBUIZAJI BORA WA KIKE WA
MUZIKI -Isha Ramadhani
36. MTUMBUIZAJI BORA WA KIUME
WA MUZIKI -Diamond






Picha za Redcarpet siku ya ugawaji wa tuzo..................:







No comments:

Post a Comment