Pages

Pages

Pages

Sunday, 11 May 2014

MAAJABU YA MUNGU.

Ukosefu wa viungo muhimu katika mwili wa binaadamu sio mwisho wa maisha.Kijana huyu asiyekua na mikono wala miguu anaweza kutekeleza mambo mingi kwenye maisha yake.

Jione mwenyewe......Tuache Mungu aitwe Mungu.

Ukistaajabu ya Musa utaona ya firauni,,,wacha Mungu aitwe Mungu.Kijana asiye na mikono wala miguu mwenye asili ya kizungu ana uwezo wa kufanya kazi nyingi ambazo yeye huhitaji kuzikamilisha.

"I love to travel,i love golf,i love to swim"anasema kijana huyo ambaye hakika ukiona video yake unaweza kulia.


Tazama hapa hiyo video:-


No comments:

Post a Comment