Pages

Pages

Pages

Sunday, 11 May 2014

GET READY FOR TWENDE SAWA MIXTAPE VOL.1 FROM CHIWILEINC.

                         Issa chiwile jr.

 Mwanaharakati kutoka pande za  Zanzibar maarufu kama Chiwile(Issa Chiwile) ameendelea na mchakato wake wa uandaaji wa mixtape mpya kutoka Chiwileinc.Chiwile ambaye amekua na mchango mkubwa katika sanaa ya muziki ya Zanzibar ameamua kuwahusisha ma-rappers/Mc's wa kike katika mixtape hiyo ya Vol...1  iliyopewa jina la Twende Sawa.



"tunatafta mwanadada toka zeetown
mwenye uwezo wa ku flow apate
nafasi ya ku join kwenye mixtape #twende_sawa vol..1 " aliandika chiwile kupitia ukurasa wake wa Facebook.



Mc's kama Ison,Hood C na wengine wengi wataskika kwenye mixtape hiyo.


For more updates concerning Chiwileinc visit:

Www.chiwileinc.blogspot.com

No comments:

Post a Comment