Friday, 27 June 2014

WEMA SEPETU AFICHUA SIRI YA MILLARD AYO.

Wema Sepetu afichua siri ya Milard Ayo.

collage

Watu wengi sana watakuwa wanamfahamu mkali huyu wa kuwakilisha habari kali za nguvu kwa watu wake kupitia kipindi chake cha ClaoudsFm cha Amplifaya, Milard Ayo amezidi kujipatia sifa kwa uwezo wake na kwa staili yake ya pekee ya kufikisha habari, ila wengi walikuwa hawafahamu kile apendacho, mbali na kuwa hodari kama mtangazaji Milard Ayo hupenda sana nyumba, anandoto siku aje kusimamisha mjengo wake wa nguvu hapa town. Ni siri aliyoifichua Mrs Dangote aka Wema Sepetu wakati akimpa shavu ili watu wazidi kumpigia kura kuchagua #AMPLIFAYA kama kipindi cha Radio kinachopendwa.

No comments:

Post a Comment