Mrap Lion
"If you have a dream,know that you can make"......................Mrap Lion.
Jah ndo anapanga destiny............since hii song imekua released sijawi choka kuiskiliza.Mambo yote ambayo yameimbwa katika wimbo huu ndio maisha halisi ambayo hata "Classmate" amepitia.
Good message to good people.....
Take a look to the video up there........
No comments:
Post a Comment