Baada ya MTV MAMA awards iliyofanyika huko bondeni Afrika ya kusini na
kuteka akili za watu hapa town, haswa baada ya mkali wa Afro Pop kupiga
bonge la show ambalo lilimchanganya hadi Mr.President na kumfanya
afunguke kukubali na show ile. Hii sasa ni moto wa kuotea mbali, huku
wakati Diamond Platnumz akiwa bado ana-run hii DSM, hasa baada ya
kuachia nyimbo yake ya Mdogo mdogo inayopigwa kila kona ya media hapa
Bongo. Hivi sasa ni moja kwa moja hadi jiji la malaika aka Los Angels
huko kwa Obama ambapo ndipo anatarajia kutia mguu katika maadnalizi ya
awali ya tuzo hizo za BET., Kupitia ukurasa wake wa Instagram alifunguka
na kudokezea tu, akisema “LOS ANGELES! need i say More?”, kweli hamna
la ziada la kusema hapo lugha ya picha hii inasomeka vizuri sana.
No comments:
Post a Comment