Official fan blog "Classmate" is one among Bongo Classmates properties... It's all about reporting of Current affairs..
Monday, 2 June 2014
ISON MISTARI ATANGAZA RASMI KUACHA MUZIKI.
Msanii wa Hiphop kutoka Zanzibar maarufu kwa jina la Ison Mistari leo ameamua kuacha muziki rasmi.kupitia ukurasa wake wa Facebook Ison aliandika hivi:-
sina jinsi ya kukwepa uamuzi nili nao kwa
sasa # NASKITIKA SANA lakini Hakunabudi
hakukua na umuhim wowo kutqngaza kila mtu ajue
Lakini imenilazimu kufanya hivyo
kwasababu # nizijuazo mwenyewe . Leo tarehe 2
mwezi wa 6 mwaka 2014 ndio siku yangu
ya # mwisho ya kuitwa Hip hop mc .
Nusu ya # maisha yangu nime Utumikia #Muziki
ilhali sio njia sahihi kwangu kutokana na # imani
niliyo nayo .
nimeamua kua mwengine japo hali hiyo ina kua
ngumu sana katika Hatua za Mwanzo maana najua
kua idadi kubwa Ya marafiki wasio nitakia mema
watapungua na vitunilivyo ziea japokua nivibaya
vitaondoka .
OMBI : VYOMBO VYA HABARI NA WAMILIKI WA
BLOG NA HULKSHARES # futeni kabisa nyimbo
zangu zote picha zinazo tqngaza au kuhusisha
#MUZIKI na viashirio vyengine .
pia nnampango waku cha pisha # kitabu kitacho
elezea maisha yangu kwa ujumla ntatoa tangazo
kitapo kua tayari kitapatikana vp na kwa bei gani .
NAJUA KUA # WENGI HAMKUTEGEMEA KUA
NINGEKUA NA UWAMUZI MGUMU AMBAO wasanii
wengi #WAMESHINDWA kuufikia kwahofu Ya
kupeteza anasa zilizo # upamba ulimwengu
nasistiza kua kwa sasa nipo pamoja
na # CHABY6 #MUDACRISS # MANYOTA na
wengineo walio jivuta upande huu .
kwaiyo NIKIFA LEO NAIMBA MJE MSIBANI kunizika
kama binaadam wakawaida nasio # mwanamuziki
au mdaw au mtu waburudani hapana : mtu yoyote
atakae nihitaji kwa kazi au maongezi yalio mbali na
#muziki anipigie cm ni
+255715305694 # AHSANTENISANA
Nao mashabiki na wadau walisema yao kwa namna hii:-
Van Has
Yeah broo ni uamuzi mzuri shukuru Mungu
amekuongoa mapema mana tuendapo hatuujui
mwisho wetu utakuwaje....Big Up
Like · 1 · 2 hours ago
Man Tuzzo
Sawa ndugu
Like · 3 · 2 hours ago
Praxeda Fredricky
be blessed
Like · 1 · 2 hours ago
Rajab Muya
dah uwamuzi mzuri sana mungu akubariki
Like · 1 · 2 hours ago
Pedi Rashid
safi sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaa my friend
Like · 1 · 2 hours ago
Madi Sam Mitindo
bora baba coz dhambi zilikuwa zishajaa punguza
Like · 1 · 2 hours ago
Aisha Salum
hongera sana ila icwe kwa ajili ya ramadhan tu
halafu uowe tena ok
Like · 3 · 1 hour ago
Fatma Khalfani
Mungu akuongoze inshaallah, nakutakia wepes wa
mambo yko na duru ya maisha yko kwa ujumla,
Allahuma amina.....
Edited · Like · 1 · 1 hour ago
Nasi Bongo Classmates hatuna chochote cha zaidi bali kukupongeza kwa uamuzi mzuri uliofikia ambao siku fupi zijazo tutawasikia wasanii wengine wakifanya hicho ambacho wewe umekifanya leo
MAISHA MEMA ISSA......
Labels:
zeetown fleva
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment