Official fan blog "Classmate" is one among Bongo Classmates properties... It's all about reporting of Current affairs..
Tuesday, 3 June 2014
DIAMOND,BEN POL,MRISHO MPOTO,JAYDEE,SHEEDY CLEVER WATAJWA KUWANIA TUZO ZA AFRICAN MUSIC MAGAZINE AWARDS 2014. -
Nadhani sasa hivi muziki wetu unatambulika
Africa nzima hivyo watanzania tuendelee
kuwasupport wasanii wetu kwa hali na mali
ilikuleta Tuzo hizi na nyinginezo hapa nyumbani
ili kuweka heshima... .Diamond Platznum
ametajwa kuwania katika vipengele vingi hivyo
basi tuwasupport watanzania wenzetu uwe
unampenda au haumpendi kwa sasa tuweke
Utanzania Mbele na Mambo mengine baadae,Ili
kuwapigia kura wasanii wetu bonyeza link
hii
http://afrimma.com/afrimma-
nominees-2014/
Labels:
Bongofleva,
Kimataifa,
Kitaifa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment