Watu wengi sana watakuwa wanamfahamu mkali huyu wa kuwakilisha habari
kali za nguvu kwa watu wake kupitia kipindi chake cha ClaoudsFm cha
Amplifaya, Milard Ayo amezidi kujipatia sifa kwa uwezo wake na kwa
staili yake ya pekee ya kufikisha habari, ila wengi walikuwa hawafahamu
kile apendacho, mbali na kuwa hodari kama mtangazaji Milard Ayo hupenda
sana nyumba, anandoto siku aje kusimamisha mjengo wake wa nguvu hapa
town. Ni siri aliyoifichua Mrs Dangote aka Wema Sepetu wakati akimpa
shavu ili watu wazidi kumpigia kura kuchagua #AMPLIFAYA kama kipindi cha Radio kinachopendwa.
No comments:
Post a Comment