Pages

Pages

Pages

Friday, 27 June 2014

SAFARI ZA NDEGE ZAZIDI KUMKOSANISHA DIAMOND NA MASHABIKI ZAKE.


  • diamond1

    Wakati kampuni ya Multichoice Africa ilipokuwa ina-launch moja ya kampeni yake kubwa inayoitwa  glitz and glam content extravaganza nchini Mauritius, Stage ilimkosa  Diamond Platnumz akiwa ndiye anajulikana kama ndio mwanamuziki maarufu anaye-make headline kwenye upande wa Afro-pop. Diamond hakuonekana kwa mashabiki waliokua wamefurika kumshuhudia akifanya vitu vyake, kitendo kilichopelekea mashabiki waanze kuhuzunika kwa kumkosa Diamond on stage ambayo alibidi afanye show hiyo pamoja na wakali wengine watano kutoka barani Africa hiyo jana.
    10472050_299776120198999_1167685882_n
    Sababu yakukosa kuhudhuria show hiyo, iliyokuwa inasubiriwa na wapenzi wengi wa muziki huko Mauritius ni kuachwa na ndege, iliyokuwa atoke nayo kutoka nchini Belgium na kunganisha hadi Mauritius kwenye show hiyo, hii ni mara nyingine kumtokea Diamond kwa kuachwa na ndege. Diamond Platnumz hivi sasa inasemekana ndiye msanii kutoka tanzania anayeongoza kwa kuwa booked mara nyingi kwenye almost kila show kubwa inayofanyika hapa barani Africa hivi sasa.

    No comments:

    Post a Comment