Wakali sita wa muziki barani Afrika wameungana kwa pamoja kama sehemu ya
kampeni ya kampuni ya MultiChoice Africa kufanya nyimbo na video
itakayotolewa kwenye onyesho la glitz and glam content extravaganza
nchini Mauritius. Wakali hao ni pamoja Davido kutoka Nigeria , Diamond
Platnumz kutoka Tanzania , Sarkodie kutoka Ghana , Tiwa Savage kutoka
Nigeria, Lola
Rae ambaye ni mwanamuziki wa uingereza aliyechanganyika na asili ya
Ghana na Nigeria. Wa mwisho ni kundi la Mi Casa kutoka Afrika Kusini
linaloundwa na Dr. Duda (producer na mpiga piano) , Jsomething (vocalist
and mpiga gitaa), and Mo-T (mpiga tarumbeta). Ebu icheki video yenyewe hapa..
No comments:
Post a Comment