DARASA FT DITTO……….WEKA
NGOMA
INTRO BY
DITTO…
eehy eeh eeh ooooh
weka ngoma eeeh eeeh eeh
weka ngoma ooooooooh
DARASA…
prince right here with
the new souldier…for da hood…
kanzu ndo mpya ila mashekhe
ndo wale wale ..tud Thomas are
you ready to do this…kiwalani
Verse 1
darrasa.......
Mwanzoni naanza kurap
wakasema no way, nkicheki kwa
kioo ni picha ya prof jay,
Ndugu marafiki hawamini
ntatoboa, niacheni nkomae na
muziki ipo siku utantoa,
Kabla ya tanza kuanza nia ilianza
kiwalani, hakuna hata mwana
aliyeniaminia kunipa imani,
Show za mitaani muomba dj anipe
beat,mashabiki ashuke mwana
hayuko fiti,
Mixer kurushiwa makopo ili
nshuke stejini,msoto ndo ulifanya
love akaingiaga mitini,
Marafiki kunisintch tu nkiondoka
maskani,Yule raper raper gani
anaerap chumbani,
Wengi nima fake, duniani
hakueleweki , unaweza ukazaliwa
nyanda na ukachezeshwa beki,
Wonder what is next, Mungu ajibu
text,ukimuamini mtu tu
umefanya mistake,
Chorus by ditto
Weka ngoma aah ,rusha ngoma
aaahh muziki tah tah
Sumu kuzubaa, ni zaidi ya upepo
ukivuma ila tazama na nyuma
amsha kaza zidi kukomaa X2
Ooooooh oooooh ooooh ooh
oooooooooooooooooh weka
ngoma eeyeeeehhh eeeyheeee
eeehyee
Darasa..
put your hands in da air
iringa songea njombe makambako
hadi kwa kina izzo mbeya,
Muziki wetu X3
Ooooooh oooooh ooooh ooh
oooooooooooooooooh weka
ngoma eeyeeeehhh eeehyeee
eeeehyeee
Darasa..
put your hands in da air
singida tabora hadi kwa bilali
mpanda shinyanga sumbawanga
na kwa farid kubanda, for the
soja for the soja
Verse 2,
Maisha ni safari na ajali zinatokea,
kuishi ni kamali aslyum dog
millionaire,
Siwezi kusintch hata kwa njaa ya
miaka mia,ndomana shida zangu
ziki uwa navumilia,
Natafuta njia jinsi gani ya kutatua,
matatizo ndo yanafanya akili
inakua,
Imani kuna changu Mungu
kaweka ntachukua, wanasema
rap haina deal eti mmmh
Com ananigongea beat wiki
mbele anafariki,hope ya mziki
inakata narudu street,
Wanasema ukilala hautoki bila
kujimix, nipo misele mitaa ya ilala
najua na spice,
Ananitroduce kwa maneck, ili
maneck anisikize anasema
tumcheki, baada ya mwezi hapa
kati yupo bize,
Ikawa nenda uje baadae baadae
hana time,mzee inabidi uvumilie
mambo ya binadamu,
Ooh my God what a life mara
nyingi ni long nite, hata mwili
ukipumzika kichwa bado kipo
size,
Hustle na mateso nliyopitia kitaa,
ndipo hapo nlipoandika sikati
tamaa,
Chorus by ditto
Weka ngoma aah ,rusha ngoma
aaahh muziki tah tah
Sumu kuzubaa, ni zaidi ya upepo
ukivuma ila tazama na nyuma
amsha kaza zidi kukomaa X2
Ooooooh oooooh ooooh ooh
oooooooooooooooooh weka
ngoma eeyeeeehhh eeeyheeee
eeehyee
Put your hands in the air geita
musoma bukoba boda to boda
hadi kwa alli kigoma
Muziki wetu X 3
Put your hands in the air moro
dom hama kwa roma tanga zenji
poleni kwa majanga
Verse 3
Aah yoo
If you believe in yourself hands in
the air,kama unaweza kutambaa
basi unaweza kutembea,
Ukiniona mi narap kwenye tv,
sifanyi kuuza sura ningoe
mademu cbe,
Nguzo yangu sala kwa Mungu
usiku na mchana,anilinde na
misala na mitihani ya ujana,
Binadamu nawajua ndomana
awanisumbui ,kwenye riziki siku
zote hapakosi uhadui,
Ukiweka imani kila kitu kitakuwa
poa, shukuru kwa ulichopata ndo
alichotoa,
Unaweza fanya ujinga mdogo na
ukakukoma, uliza majirani kwao
demu unaemuoa,
Kiwalani chama langu
wananiaminia, chenga tamu
wapinzani wanashangilia,
Khadija kasanga rest in peace
daima milele, kama kuna mtu
uliye mmiss utapiga kelele,
Chorus by ditto
Weka ngoma aah ,rusha ngoma
aaahh muziki tah tah
Sumu kuzubaa, ni zaidi ya upepo
ukivuma ila tazama na nyuma
amsha kaza zidi kukomaa X2
Ooooooh oooooh ooooh ooh
oooooooooooooooooh weka
ngoma eeyeeeehhh eeeyheeee
eeehyee
Put your hands in the air lindi
mtwara A city kwa weusi ,moshi
kwa yeyo, dar city ndo matusi
damn dar city ndo matusi nasema
zizi zima jiji zima classic music
salute heshima muziki wetu
milele tuombe uzima tu Thomas
kaza zidi kukomaa
The end