Monday, 25 August 2014

SHANGWE ZA SERENGETI FIESTA KAHAMA

On 14:54 by Classmate. in ,    
Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Winfrida Josephat 'Rachel' akitoa burudani katika Tamasha la Serengeti Fiesta usiku wa kuamkia leo, Kahama.
Mashabiki waliojitokeza katika Serengeti Fiesta usiku wa kuamkia leo Kahama.
Staa aliyetambulika zaidi kwa wimbo wake wa Maumivu, Khadija akiangusha shoo yake.
Staa wa Bongo Fleva, Jux akiimba wimbo wake mpya wa Nitasubiri.
Rais wa Manzese, Madee akiporomosha mashairi ya ngoma yake mpya ya 'Ni Sheeda'.
Msanii wa Bongo Fleva, Mo Music akikamua.
Staa wa Bongo Fleva, Mr. Blue naye ndani.
Staa wa Bongo Fleva, Linah Sanga akilishambulia jukwaa.
BK Sande akifanya yake.
Mtangazaji wa Clouds FM, Millard Ayo akiwa kazini.
Msanii wa Super Nyota 2013 akishambulia jukwaa.
Watangazaji wa Clouds FM, DJ Fetty akiwa na DJ Muli B.
(PICHA NA MUSA MATEJA/GPL, KAHAMA)

No comments:

Post a Comment