Wema, Mkandamizaji na Diamond |
Kama wewe ni mfuatiliaji mzuri wa mambo Instagram basi jana na leo kume
kua na hili swala la Wema na Diamond. Tema Wema wakitaka na wameanzisha
hashtag ya #BringBackOurWema na kutoa maoni, lawama
na masikitiko yao juu ya Wema huku lawama kubwa kabisa akipewa Diamond
ambaye nae ameisha wajibu (soma alicho kisema hapa). Sasa kwa jinsi
mambo yanavyo enda nae Mkandamizaji aka Street Pastor ameamua kusema
yake ya moyoni kama ifuatavyo
Street Pastor Anasema.. HILI SWALA LA DIAMOND NA WEMA NADHANI MUNGU
AMEMUHURUMIA MMOJA WAPO KATI YA HAO WAWILI. KAMA WANGEKUWA WATU WA
KUOANA WANGESHA OANA UCHUMBA GANI MREFU KAMA WANASOMEA UDOKTA???? RAFIKI
YANGU NASIB, KAMA KWELI MLIPENDANA KWA DHATI HIZO KASORO
ZINAREKEBISHIKA, MAANA HAKUNA MWANADAMU ALIYE SAHIHI KWAN HATA WW NASIB
UNAMAPUNGUFU YAKO. NA WEWE DADA YANGU WEMA LAZIMA UJUE MME NDIO KICHWA
CHA NYUMBA KWA MAELEZO HAYO INAONYESHA HAUMSIKILIZAGI MWENZIO OMBA
MSAMAHA TENAAA NA TENA NA UKUBALI KUBADILIKA. MI SIPENDI MKIWA
MNAONGOZANA WOTE KWENYE MA SHOW YA USIKU MME KAFANYE KAZI MKE ABAKI HOME
UKIRUDI MWILI UMEPOA HATA UJAUZITO UNAINGIAA!! SASA WOOTE STEJINI
MKIRUDI MIILI YA MOTO SI MTAZAA POPOMPOO JAMANIII!! NITAFURAHI KUSIKIA
TOFAUTI ZENU MMEZIMALIZA KWA AMANI ILI MASHABIKI WENU WASIJISIKIE
VIBAYA. #Over# #AchanaNaMwandishiWaMakala#
#YaanNajuaUsikuWaLeoUmepataWatuSanaNdaniYaInstaKwaIshuYaPlatinamuNaWema#
#SasaHiviSiChaWemaWalaDiamondWoteMioyoInawaendaMbioKamaBitiYaNyimboMpyaYaDiamondPaleKwenyeKitolontoKitolontooooooo#
#YaanUsikuWaLeoKunaWengineWatakeshaKusherekeaMovieIleAliyosemaDiamondWachaMovieIendeleeHaijaendeleLabdaUmemeUtakuwaUmekatikaMaanaGhaflaaaMweeeeh
No comments:
Post a Comment