Serengeti Super Nyota Divaz Shinyanga imekamilika na mshindi ni huyu.
Mashindano
ya Serengeti Fiesta Super Nyota Divaz ni miongoni mwa vihusishi vya
tamasha la Serengeti Fiesta ambalo kwa Shinyanga bado halijafanyika
kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo ya matatizo yaliyotokea Musoma ya
ajali ya mabus mawili.
Upande wa Shinyanga washiriki waliojitokeza jumla yao ni 10 ingawa kuna wengine walichelewa kuchukua fomu kutokana na kutofahamu siku rasmi ya mashindano,round ya kwanza ilikamilika kwa washiriki 4 kutolewa.
Mpaka round ya mwisho ambayo ilikua ya 3 majaji wakiongozwa na Dj Fetty walimtangaza Amina kama mshindi wa Serengeti Fiesta Super Nyota 2014 kwa mkoa wa Shinyanga.
Mashindano haya yalifanyika Club Butiama ya hapa Shinyanga,Hizi ni baadhi ya picha wakati mashindano yakiendelea.
Credit:Millard Ayo.

No comments:
Post a Comment