Wednesday, 20 May 2015

NEW SONG:AYAYAA BY ABDU KIBA FT RUBY.



Nyimbo mpya toka kwa Abdu Kiba akimshirikisha hitmaker wa "Na Yule" mwanadada Ruby..... Nyimbo inaitwa AYAYAA.


DOWNLOAD IT HERE

Thursday, 14 May 2015

NEW SONG:NAY WA MITEGO FT DIAMOND PLATNUMZ MAPENZI AU PESA.



Nyimbo mpya iliyowakutanisha kwa mara nyengine tena "The Hitmakers" wa Muziki Gani..nawazungumzia Nay Wa Mitego na Diamond Platnumz ni hii hapa ,ina kwenda kwa jina la MAPENZI/PESA.



DOWNLOAD HAPA




Kwa mtazamo wako ,unaona mapenzi au pesa ?!

Sunday, 3 May 2015

NEW SONG: "ADMIT" BY JAY-NAS THE PROFIT FT BEN POL




SONG: ADMIT (Ft @iambenpol )
Artist: @jaynas_the_profit
Studio: Classic Sounds ( @monagangstar )

__
#TABORA_TANZANIA
#MBOKA


Artwork By @amuu_kijukuu

DOWNLOAD IT HERE