Monday, 16 March 2015

DOWNLOAD NEW SONG: KOSA GANI BY LUGE TOUCHEZ



Luge Touchez

Msanii Luge Touchez ambaye pia ni muandaaji wa nyimbo hapa Dar-Es-Salaam;Tanzania hivi karibu ameachia nyimbo yake mpya iitwayo KOSA GANI iliyoandaliwa kwenye studio za Q-Star Music Records.



Song Cover ya "Kosa Gani"

Unaweza download nyimbo hiyo HAPA

Friday, 6 March 2015

L.T.C IS LOOKING FOR A QUALIFIED SECRETARY/RECEPTIONIST AND A HOUSEGIRL.



L.T.C is looking for a qualified Secretary/Receptionist and a Housegirl.please call us if you are interested for the posts 0715 43 92 05.

L.T.C inatafuta mfanyakazi wa sehemu ya mapokezi na msichana wa kazi za nyumbani (waliobobea kwenye kazi hizo).Kama umevutiwa na hizo nafasi,Tafadhali wasiliana nasi kwa simu namba 0715 43 92 05 ama fika kwenye ofisi zetu zilizopo Kiembe Samaki Karibu na Airport,Zanzibar Tanzania.

ATAKAYE SIKIA TANGAZO HILI AMUARIFU NA MWINGINE




NYOTE MNAKARIBISHWA.

Thursday, 5 March 2015

WRONG TURN(ISON & CHABY 6) KUFANYA COLLABO NA MSANII KUTOKA RWANDA.



Ramjaane Muchoma from Rwanda kigali




Moja ya screenshot ambayo inaonyesha maongezi yanayoendelea kufanyika baina ya Ison Mistari na Ramjaane Muchona ambao siku za hivi karibuni wanatarajia kuachia hit song yao mpya ambayo itakuwa ni fever ya East Africa.

Nao Bongo Classmates walipowasiliana na Ison kupitia mtandao wa whatsapp ,conversation ilikua kama ionekanavyo hapo chini kwenye iyo screenshot.






Bongo Classmates wish you all the best kwenye harakati zenu.