Usiku wa kuamkia Feb 23, 2015 mashabiki wa muziki waliweza kukutana na kushuhudia event iliyoandaliwa na Nuh Mziwanda Shilole iliyofanyika kwenye ukumbi wa Maisha Club Dar es Salaam huku shangwe za burudani zilitolewa kutoka kwa Makomando, Country Boy, Shilole, Darasa, na wengineo .
Hizi ni baadhi ya picha kutoka kwenye event hiyo zikiwemo za watu