Picha 19 kutoka kwenye Usiku wa Ben Pol Golden Jubilee Towers
Jumatatu ya Tarehe 8 Desemba ni siku pekee itakayokumbukwa na msanii wa Bongo Fleva Bernard Paul aka Ben Pol baada ya kutumbuiza muziki wa live Band katika ukumbi wa Akemi uliopo Golden Jubilee Towers Dar es Salaam.Msanii huyo aliwaalika ndugu,jamaa na marafiki mbalimbali kushirikishi chakula cha usiku na ku enjoy good music.
Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>>twitter Insta Facebook
CREDIT:MILLARD AYO