Pages

Pages

Pages

MSANII NYOTA NDOGO AMWAGA MACHOZI BAADA YA KUCHUNGULIWA AKIWA UC*I NA KUNDI LA WATU.



Msanii maarufu wa Kenya, Nyota Ndogo
amejikuta akimwaga machozi kutokana na aibu
aliyoipata baada ya kundi kubwa la watu
kumshuhudia akiwa uchi wa mnyama huku
akijipaka mafuta pasi yeye kujua.....Nyota Ndogo
alikumbwa na dhahama hiyo alipokuwa aki
perform katika show moja nchini Kenya hivi
karibuni.



"Yani nimekwenda show.nikapewa chumba
chakubadili nguo.nimevua nguo zote najipaka
mafuta pole pole kumbe najiangalia kwa kioo
kumbe upande wapili naoneka kila kitu.yani
nimekosa amani...aibu nilio iona mungu ndio
anajua.sijui wamechukua video..haya ngoja
tusubiri," amendika kwa uchungu msanii huyo
Msanii huyo amemtwisha zigo la lawama
mwenyeji wake aliyempatia chumba hicho ili hali
akijua kinaonekana kwa nje



"Hapana nilibakisha cha ndani na nyonyo ilikua
na nguo pia.kitu sielewi ni alienipeleka kubadili
nguo ina maana hakujua nje naonekana?maana
aliambia kioo hiki jiangalie mpaka
miguu."Ameandika Nyota Ndogo na kuongeza
"Kuajulisha tu ili kama walichukua video
mukiiona mujue niliwataarifu"
Aidha, Nyota Ndogo aliutumia pia ukurasa huo
kuwasihi watu hao wasitoe picha zake za uchi
au video kama walirekodi ili kumtunzia heshima
mbele ya watoto wake

"Wafikirie wanangu," Ameandika 

KUTOKA KATIKA MSIBA WA GEORGE TYSON MBEZI MAKONDE JIJINI DAR.




Huzuni na simanzi vyatawala......ni kwenye mazishi ya Goerge Tyson huko Mbezi.

USIRUHUSU MAPENZI YAUTESE MOYO WAKO!



NATUMAINI hamjambo wasomaji wangu na
kama unasumbuliwa na jambo lolote, iwe kiafya
au kiuchumi naomba usikate tamaa kwani
matatizo ni sehemu ya maisha, jambo la muhimu
ni kumuomba Mungu na kujaribu kutafuta suluhu
ya tatizo hilo.
Baada ya kusema hayo, basi tuingie moja kwa
moja kwenye mada yetu kama inavyojieleza
hapo juu. Ni wazi kwamba mapenzi yanachukua
nafasi kubwa sana katika maisha ya binadamu,
na ipo dhahiri kwamba mapenzi yanaweza kuleta
furaha maishani mwako lakini wakati huohuo
yanaweza kuleta maumivu, mateso na karaha.
Watu wengi sana bado wanalizwa na mapenzi na
hii ni kwa sababu hawafuati kanuni sahihi ya
mapenzi. Ndiyo... mapenzi yana kanuni zake.Kwa
bahati mbaya kabisa, kwa sasa mapenzi
yamegeuzwa na kuwa kama kitu cha kujaribu au
kufanyia biashara na ndiyo maana yanawatesa
wengi. Lakini ni kwa nini mapenzi yaendelee
kututesa? Au ni kwa sababu hatujui maana
halisi ya mapenzi? Hebu tuyaangalie mapenzi
kwa jicho la tatu.
MAPENZI NI NINI?
Katika hali ya kawaida, mapenzi hayaelezeki
kuwa ni nini. Ni vigumu sana mtu kukueleza
maana ya mapenzi ndiyo maana kila mtu ana
uelewa tofauti juu ya suala hilo.
Mtaalamu mmoja wa masuala ya mapenzi Davis
Kurt kutoka Colombia, aliwahi kuyaelezea
mapenzi ndani ya kitabu chake cha More About
Love, ambapo alisema; ‘Love is natural feelings,
which take place from the deepest part of your
heart upon somebody or something else’
akimaanisha kuwa mapenzi ni hisia za asili
ambazo huchukua nafasi kutoka sehemu ya
ndani kabisa ya moyo juu ya mtu au kitu
chochote. Tena bila kuwa na visingizio au
masharti ya aina yoyote.
HISIA NI NINI?
Huu ni msukumo wa vichochezi katika homoni
za ndani ya mwili ambazo hutokea kutokana na
mazingira.
Lakini huwa tofauti kati ya mtu na mtu na ndiyo
maana watu hutofautiana madaraja ya kupenda.
Mfano halisi ni kwamba, utakuta mtu anapenda
sana wanawake weupe, lakini mwingine hataki
hata kuwaona.
Lakini mapenzi siyo mawazo au uamuzi wa mtu,
bali hisia ambazo hutokea pasipo uamuzi wa
mtu.
Kutokana na hali hiyo, utasikia mtu akisema
‘sijui nimempendea nini huyu mwanaume!’ ni
kweli yeye hajaamua lakini hisia zimefanya awe
hivyo.
USIRUHUSU MAPENZI YAKUTESE
Kwa nini mapenzi yakuumize? Unakosea wapi?
Kwa nini ukataliwe kila mara? Haya ni baadhi ya
maswali ya kujiuliza kuhusu mateso ya mapenzi.
Kamwe katika maisha yako usiruhusu mapenzi
yakutese, najua yawezekana kila mpenzi
unayempata haudumu naye, wewe ni mtu wa
kulia kila siku, hujawahi kufurahia maisha hataa
siku moja, jipange upya.
Thamini na jali zaidi maisha yako kwanza, fikiria
kipi ni bora kati ya mapenzi na maisha yako, ni
kipi kilitangulia? Kama maisha ndiyo yalitangulia
kwa nini usijijenge kwanza kimaisha ndipo
mengine yafuate?
Hata kama unateswa na mtu unayempenda kwa
dhati, hata kama ni mzuri kwa kiwango gani,
kwani bila yeye maisha hayaendi? Si kweli na
kama unaweza kuishi bila yeye kwa nini akutese
namna hiyo?
Usikubali hisia zako zichezewe, mwamuzi wa
mwisho wa maisha yako ni wewe mwenyewe. Ni
vyema kuchuja mambo na kuwa katika uhusiano
na mtu sahihi ambaye mnagongana kihisia.
Kama hisia zako na zake ni tofauti, kwa nini
uendelee kumng’ang’ania? Bado kuna vitu
muhimu vya kujifunza hapa,

MAMBO 6 AMBAYO WANAUME HAWAPENDI KUFANYIWA NA MADEMU ZAO.



Haya niliyapata kutoka kwa mshauri wa masuala
ya mahusiano, ndoa na vijana
 Frederick Kyara. Hizi ni baadhi tu nakuwekea
hapa japo kuna vitu pia wanawake
hawavipendi kutoka kwa wenzi wao wanaume.
Nayo ni haya hapa, ungana nam
i kujadili jambo hili ambalo kwangu nimeona ni
changamoto au niseme sikujua.

1. Wanaume hawapendi kuambiwa cha kufanya
na wenzi waoMwanamke
unapotaka mwanaume afanye jambo
usimwambie alifanye bali fanya kama
 una mpa ushauri. Kwamba John hivi kwa nini
tusiweke balbu hapa kwenye
 korido maana kuna giza kweli. Badala ya hivi
wewe John huoni hapa kwenye
korido kuna giza balbu imeungua mwezi sasa
hujabadilisha kwa nini?
 Weka balbu bwana. Atafanya au asifanye kabisa
kwa sababu umemwambia cha kufanya.

2. Wanaume hawapendi mwenzi mwenye
makelele, mlalamishiYeye ni kulalamika
kuanzia Jumatatu hadi Jumapili. Japo
wanawake nao wanasema kuna wanaume
walalamishii balaaa. Na wenye gubu wanasusa
kula mpaka kuongea wanawanunia
 wake zao mmmmh!

3. Wanaume hawapendi mwenzi mchafu Mchafu
wa mwili wake na hata
nyumbani kwenye suala la kutunza nyumba
wanayoishi. Uchafu hufanya
 mwanamke apoteze mvuto.

4. Wanaume hawapendi mwenzi mbishi Japo na
wanawake wanasema
 wanaume ndio wabishi zaidi. Utampa
mwanaume ushauri lakini haufanyii
kazi ubishi mwingi.

5. Wanaume hawapendi kuamrishwa na mwenzi
wao Mwenzi mbabe
 anaetoa amri na kumtawala hawataki.

6. Wanaume hawapendi kuhisiwa hisiwa na
kusachiwa sachiwaKumpekua
kwenye simu, mifuko ya suruali kwamba
unamulika mwizi. Hawapendi,
 tena pengine hawajafanya jambo la kuwafanya
wahisiwe vibaya.

PICHAZ.......JINSI MKUDE SIMBA ALIVYOMPAGAWISHA PENNY.


Hehehehe mimi sina chakuongeza hapo.....Ila
kaka yetu (MKUDE SIMBA)
kama hakuwa COMFORTABLE hivi.....Hawa
madada wa mjina NOUMA SANA.
..siunakumbuka ile ya DIVA [KAMA ULI-MISS
SOMA HAPA]sasa ni ya PENNY
 ( yeah yuleyule aliekuwa wa Diamond P)
Ila tuache utani huu Mkisi una ma hisia hadi
macho kufumbaaa...
..Hii nawaachia mmalize wenyewe!!!
KISHA KAANDIKA


Friday, 30 May 2014

MZUNGU AMLAZIMISHA HOUSEGIRL WAKE KUFANYA MAPENZI NA MBWA.



KHAA! Katika hali ya kushangaza, dada wa kazi
za nyumbani (hausigeli) mkazi wa Tabata jijini
Dar aliyetambulika kwa jina moja la Aneth,
amejikuta kwenye wakati mgumu baada ya kudai
kuwa bosi wake ambaye ni Mzungu
amemlazimisha kufanya mapenzi na mbwa wake.

Mzungu huyo ambaye jina tunalihifadhi, alidaiwa
kufanya tukio hilo la kinyama Mei 26, mwaka huu
na inadaiwa Aneth alipomkatalia, alimtimua
nyumbani hapo kwa kumtupia virago.
Chanzo makini kilidai kuwa, baada ya kutupiwa
virago bila kupewa mshahara wake sambamba
na kipigo, Aneth aliripoti tukio hilo katika Kituo
Kidogo cha Polisi cha Tabata, Dar na muda
mfupi polisi walifika nyumbani hapo lakini
Mzungu huyo hakutoka ndani, akakataa
kuzungumza chochote.

Taarifa zilidai kuwa, baada ya polisi kukutana na
kizingiti hicho, walimpigia simu kiongozi wao
ambaye aliwaamuru warudi kituoni wajipange
upya.


Wananchi wakiwa wamezingira nyumbani kwa
mzungu.

Akisimulia zaidi ishu hiyo, Aneth alisema polisi
walipoondoka eneo hilo, umati uliochukizwa na
kitendo hicho ulikusanyika nje ya nyumba ili
kumdhibiti ‘mtasha’ huyo kwa lolote.

“Kuna jirani mmoja alipiga simu tena kituo cha
polisi alipoona hali ya hewa imechafuka ndipo
polisi wakafika kwa mara nyingine na difenda na
kufanikiwa kuingia ndani kwa kutumia geti
kubwa, walipofika walikuta milango imefungwa
lakini ilisemekana aliruka ukuta na kutimkia
kusikojulikana.

“Polisi waliniambia nimpigie simu ajisalimishe
lakini nilipompigia alisema hayupo na kama
tunamhitaji tukutane sehemu huku na yeye akiwa
na polisi wake,” kilisema chanzo.


Mbwa wa mzungu waliotakiwa kufanya mapenzi
na hausigeli.

Mmiliki wa nyumba hiyo anayeishi Kigamboni,
Mr. Cris alipoulizwa kuhusiana na ishu hiyo,
alikiri kupokea malalamiko na manyanyaso
kutoka kwa Aneth.
Akisimulia zaidi maisha anayoishi na Mzungu
huyo, Aneth alisema: “Alikuwa akinitafutia
sababu za kunitimua kwani hivi karibuni kwa
bahati mbaya nilipoteza ufunguo wa ndani,
akanipiga mateke na kunisababishia maumivu
makali mwilini kiasi cha kushindwa kutembea.
“Lakini lililoniuma zaidi ni hili la kunilazimisha eti
nifanye mapenzi na mbwa wake, amekuwa
akifanya hivyo mara kwa mara mimi nikaona
siyo sawa na nilipokataa ndipo yakanikuta
hayo.”

Aneth aliripoti matukio hayo katika Kituo Kidogo
cha Polisi Tabata na kupewa fomu ya matibabu
(PF-3) sambamba na kufunguliwa jalada la kesi
namba TBT/RB/3132/2014/ SHAMBULIO na
jalada la uchunguzi lenye namba TBT/
IR/1829/2014/UCHUNGUZI.

PICHAZ....LULU ATEMBEA "NIDO" NJE.




MSANII wa filamu Bongo, Elizaberth Michael
‘Lulu’ hivi karibuni aliwashangaza watu baada
ya kuvukwa na gauni alilokuwa amevaa na
kulazimika kutembea huku sehemu kubwa ya
kifua chake ikiwa wazi.


Msanii wa filamu Bongo, Elizaberth Michael
‘Lulu’.

Tukio hilo lilitokea hivi karibuni katika kiwanja
kimoja kichopo mjini Arusha ambapo mmoja wa
watu aliyemtia machoni Lulu aliyeomba hifadhi
ya jina lake alisema:



“Yaani nilimuona Arusha akiwa amevaa gauni
lililoacha wazi matiti yake, kaficha chuchu tu na
inavyoonekana gauni lilimvuka, akaonekana
akihangaika kulirudishia bila mafanikio.”

JE MWANAMKE UNATAKA KUWA SUMAKU KWA MWANAUME ?



1.    Mwanamke jipende mwenyewe
Mwanamke ni lazima ujipende na
kujiamini na ukigundua kuwa hisia
 zako zaapenzi zimejikita kwa huyo
mwanaume ambaye hisia zako
 zinaamini kuwa ni yule ambaye
umewahi kumuwaza kuwa ungependa
kuwa nae basi usieleze kwanza uongo
maana akija gundua weeeeee……noma.
Hapa niweke wazi kuwa ni muhimu
mwanamke au mwanaume,
 kwa pamoja tujue kuwa tofauti yetu na
mbuzi siyo miguu au
 manyoya bali kitu kingine kikubwa
zaidi. Kitu hikikikubwa
 ndicho sisi – sisi ni jinsi tunavyofikiri
ambapo kwa kufikiri
kwetu tunakuwa kama tulivyo ambao
ndiyo sisi wenyewe.

2.    Jifunze namna ya kuzuga
Sisemi jifunze namna ya kudanganya
bali ‘’kuzuga’’ naamini naeleweka
 vema ambapo wanawake wengi wenye
kujua kuzuga wamekwa sumaku
 kubwa kwa wapenzi wao ama kwa
wabnaume wanaowahitaji.
Wanawake wenye ujuzi wa kuzuga
wamekuwa wakifanikiwa kuwanasa
 wanaume wengi kutokana na ujuzi wa
kutumia viungo vyao walivyop
[ewa na Mungu huku baadhi wakitumia
macho yao kwa kuangaliana
mara kwa mara na wanaume
wanaovutiwa huku baadhi wakitumia
midomo yao kuilamba kana kwamba
anasawazisha mafuta katika
 midomo hiyo.
Mbinu hii inawapagawisha wanaume
wengi ambao hujikuta akikuuluza
 jina ama moja kwa moja akakusogelea
na kukusabahi na kujitambulisha
ama kuomba namba yako ya simu, si
unajua utandawazi umewapotezea
 wanaume wengi ujasiri wa kutongoza
zaidi atakupigia simu, si mnajua
wengi tunatongozana kupitia simu…si
vibaya ingawa hamu inapotea kidogo.

3.    Panga ratiba ya kutoka, ‘’siyo
kusaka mabuzi’’
Wanawake wengine wamekuwa
wakilaumu kuwa hawatongozwi na
 wanashindwa kuwadaka wanaume
wanaowataka kimapenzi huku
wao wenyewe wakiwa tatizo. Wengi
hushinda nyumbani kama
 watoto wa Mfalme jambo ambalo
wengine wamejikuta
 wakizeeka na kuanza kukumbuka hata
kwa kulazimisha
 kuwa walau nwapate watoto.
Hali hii mwanamke utaiepuka endapo
utakuwa na walau na
ratiba zako nzuri hata kama haupendi
kwenda Disko au ni geti kali basi hata
 week end uwe na ratiba ya kutembea
ufukweni au mahala ambako unajua
kuna
watu wanajichanganya kidogo majira
ya jioni na ahapa sizungumzii kuwa
 unaenda kutafuta soko bali kama
unajiamini kuwa unamvuto naamini
uchaguzi
wako utakuwa mgumu kwasababau
wengi watatamani kuwa nawe, si
unaushawishi banaaaa…

4.    Kosoa kwa hekima
Mbinu hii itawasaidia sana wanawake
ambao wapo tayari kwenye ndoa
 na mahusiano ya kawaida ambapo
kuna mahala wanawake wanajisahau
na
kuwatamkia wanaume wao maneno
yasiyo na hekima, kwa mfano utamsikia
 mwanamke anamwambia mwanaume
wake kuwa ‘’wanaume wenzako
wanajenga, wewe kila siku ahadi tu’’
kauli kama hii ni kosa na kasoro
kubwa.
Ukiachiliambali kwamba hiyo ni
lawama, lakini kauli kama hiyo
inajenga
hisia kwa mwenzako kuwa mwanamke
huyu kumbe anapenda kuwa
na wanaume kama hao hivyo wanaume
wengi hawapendi kushauriwa
bila hekima na kudhani kuwa
wanawake hao wanaodhani wanaume
wao hao siyo wa maana hivyo
mwanamke ukitumia maneno yasiyo
 na hekima huwezi kuwa sumaku kwa
mwanamume wako.
Kwa leo tuishie hapa wiki ijayo na
kuendelea nitakuletea mfululizo
wa tofauti zetu yaani mwanamke na
mwanaume na ujua kuwa
kutentewa vizuri na mpenzi wako ni
haki yako au la na hapo tutaelezana
madogomadogo yafukuzayo wapenzi.

BAADA YA KUACHANA NA MAWIGI,HUU NDIO MUONEKANO MPYA WA LULU.



Huyu si mwingine bali ni mdogo wetu
aliekulia kwenye TV (kwasisi wa miaka
ya 80 )...yaaani ana TV personality
toka LONG , kwa hapa Bongo ni staa
wetu tumependwa na wengi (pamoja na
mimi toka kitambo)

LAANA....PICHA ZA UCHI ZA DENT WA CHUO KIKUU ZAVUJA MITANDAONI (STORY NZIMA NA PICHA VIKO HAPA).



Ma denti waishio hostel wana kila aina ya vituko,
Haya yalio tokea hivi karibuni. Simu iliokotwa
chuoni ya denti mmoja wa kike ikiwa na picha za
uchi walizokuwa wakipigana wenyewe hostel,
picha hizo zimevuja kwa
kasi.
PIA KUMBUKA KU LIKE PAGE YETU UPATE
MATUKIO ZAIDI KILA SIKU

BOFYA HAPO CHINI KWA PICHA KAMILI...

               >>>CLICK HERE<<<


UKIONA HAYA UJUE HUYO MWANAMKE NI MTAMU KITANDANI.



LEO NINAKULETEA MADA FLANI
NILIYOIPATA KWA KAKA FLANI
KUHUSIANA NA UZURI NA UTAMU WA
MWANAMKE.
KAKA HUYO ALITANGULIZA SAMAHANI
KWA AKINA DADA WOTE AMBAO
WATAKWAZIKA NA MADA YAKE.
ALISEMA,
'SIKU HIZI LIMEZUKA WIMBI LA AKINA
DADA NA HATA AKINA MAMA WENGI
SANA KUJIREMBA KWA NAMNA
MBALIMBALI ILI WAPENDEZE AMA
WAWAVUTIE WANAUME!
WAMEKUWA WAKIPAKA RANGI
TOFAUTI TOFAUTI KWENYE MIILI YAO,
NYWELE ZAO KUCHA ZAO, MIDOMONI
YAO, NK.
WENGINE WAMEFIKIA HATAU YA
KUNYWA AU KUPAKA DAWA ZA
KICHINA ZA KUONGEZA MAKILIO NA
MAZIWA ILI KULETA MVUTO NA UZURI
WAUTAKAO.
HATA HIVYO, WENGINE WANASUKA
NYWELE NDEFU NA WANAONGEA KWA
MBWEMBWE HUKU WANATIKISA
VICHWA VYAO NA KUSHIKASHIKA
NYWELE KAMA WAFANYAVYO
WANAWAKE WA KIZUNGU KWENYE
MUVI.
KWA MSISITIZO ZAIDI HUCHANGANYA
KISWAHILI NA KINGEREZA. KWA
MFANO UTASIKIA, "OFUKOZI AI LAVU
HIM BATI, SIWEZI KUENDELEA NAYE"!!
CHAKUSIKITISHA WANABADILISHA
MPAKA SAUTI ZAO!
NINAJUA DADA ZETU WANAFANYA
HIVYO KWA LENGO LA KUPENDEZA NA
WENGINE KWA LENGO LA KUWAVUTIA
WANAUME. NA NINA HAKIKA HUWA
WANAWAPATA WANAUME WENGI
SANA KUTOKANA NA HILO! SHIDA IPO
KWANGU JAMANI...
MIMI KAMA MIMI SIJUI NI KWA NINI
HUWA HILI LINANITOKEA, LAKINI NI
KWAMBA JINSI WANAWAKE
WANAVYOZIDI KUJIREMBA NDIVYO NA
MIMI NINAISHIWA HAMU YA KWENDA
NAO KITANDANI!!
KIUKWELI NI KWAMBA NIKILALA NA
MWANAMKE AMBAYE NI NACHURO,
YAANI MWENYE NYWELE ZAKE ZA
KAWAIDA ZILIZOSUKWA KWA MTINDO
WA "TWENDE KILIONI" AU
ZILIZOBANWA VIZURI, MWENYE
WOWOWO, CHUCHU NA SAUTI
NACHURO, HUWA NAPATA NGUVU
NYINGI SANA ZA KUPANDA MLIMA,
IKILINGANISHWA NA NINAPOLALA NA
MWANAMKE MWENYE UREMBO NA
UZURI BANDIA.
SIJUI KAMA UGONJWA HUU
UMEWASHIKA NA WANAUME
WENZANGU AMA NINAUMWA
MWENYEWE!!' ALIMALIZIA KIHIVYO
KUUELEZEA YA MOYO WAKE

Wednesday, 28 May 2014

KAJALA KUTOKA NA CK KULITUNGWA.....MESSAGE ZA NAIMA ZAKAMATWA INSTAGRAM....(PICHAZ)




Maskini Kajala Kumbe ile issue ya Kutoka na CK
ni Uongo, Duuh Kama hizi Message ni za Kweli
Nampa Pole Kajala cozi Watu wengi walikuwa
wanamfikiria Vibaya na Kumtukana..
Jisomee mwenyewe hizo Message za Naima na
Rafiki yake wakichat kuhusu Kajala: