Hehehehe mimi sina chakuongeza hapo.....Ila kaka yetu (MKUDE SIMBA) kama hakuwa COMFORTABLE hivi.....Hawa madada wa mjina NOUMA SANA. ..siunakumbuka ile ya DIVA [KAMA ULI-MISS SOMA HAPA]sasa ni ya PENNY ( yeah yuleyule aliekuwa wa Diamond P) Ila tuache utani huu Mkisi una ma hisia hadi macho kufumbaaa... ..Hii nawaachia mmalize wenyewe!!! KISHA KAANDIKA
No comments:
Post a Comment