KAJALA AFUMWA NA MWANAUME CHINA!
Tap! Staa
wa Bongo Movies, Kajala Masanja ‘K’ anadaiwa kufumwa na mwanaume nchini
China huku akisusiwa sherehe ya bethidei yake, Ijumaa Wikienda
limeinyaka.
Kwa mujibu wa kachero wa Oparesheni Fichua Maovu (OFM) aliyepiga kambi
Hong Kong, China, mwishoni mwa wiki iliyopita Kajala alionekana na
mwanaume huyo aliyetajwa kwa jina moja la Meddy kwenye pati hiyo ambayo
eti inasemekana ilihudhuriwa na watu watatu.
Ilisemekana kwamba Kajala amejibu mapigo kwa kujinyakulia kijana kwa
ajili ya kumkosha moyo na kumsafisha na skendo za waume za watu.Ijumaa
Wikienda lilipomtafuta Kajala kwa njia ya simu hakuwa hewani na hata
alipotumiwa ujumbe kwa WhatsApp hakujibu.
No comments:
Post a Comment