Pages

Pages

Pages

Tuesday, 17 June 2014

HIVI NDIVYO JINSI INSTAGRAM ILIVYOMLIZA ZAMARADI MKETEMA.


hivi ndivyo instagram ilivyomliza zamaradi mketema.

10387843_1510374369181352_1768098227_n

Haikuwa siku nzuri kwa presenter maarufu wa Clouds Tv Zamaradi Mketema, baada ya tukio lililomtokea kwenye ukurasa wake wa instagram siku ya Baba duniani, Ishu nzima ni pale Zamaradi alipojaribu kuandika ujumbe mrefu alafu kwa bahati mbaya, wakati anajaribu kupost huko instagram, kitu kikagoma kwenda na kumfanya apoteze ujumbe huo wake mreefu, aliokuwa ameuandika kwa moyo wote na kwa hisia kali, kama unavyojua kuandika kitu upya inakuwa ina utofauti na uandishi wa mwanzo haswa pale ilipombidi kurudia upya kuandika, hivyo kumfanya akate tamaa kabisa, Zamaradi alifunguka zaidi kuelezea mkasa mzima uliomtokea, alifunguka hivi:
10387803_320263598126241_222247568_n
DAH!!!! posted something about my DAD tangu jioni saa 12…. imekataa ku upload… i expressed almost everything about HIM/about ME… i wrote MY FEELINGS… And u know once you write kitu kwa hisia its hard kukirudia….maana nilikuwa naandika huku machozi yananitoka…I MISS HIM KIUKWELI….And I feel so sad for that post kutokwenda!!! hivyo iko kama unavyoona with alama ya X na kile kialama cha kurudia tena… i keep on kurudia everytime naogopa.kubonyeza X isipotee moja kwa moja but imegoma.. maybe ilikuwa ndefu i dont know!!! NAULIZA.. kwa wataalamu is there any way that nnaweza kurudi back na kukuta nilichokiandika ili niweze kuedit!!!!? Maybe… please guys i need your help yani.. kama kuna hiyo njia kwa mnaojua… km hamna tena basi nipumzike tu… #majanga“-alimalizia Zamaradi.

No comments:

Post a Comment