Ukitaka jua kuwa bongo kuna ma-director wakali wa video na wasanii
wakali zaidi, ni jinsi kazi zao zinavyotambulika zaidi nje ya boundaries
za hapa Tzee na kupata airtime zaidi kuweza ku-compete na nyimbo
nyingine kutoka mataifa mbalimbali ulimwenguni,hizi ni baadhi tu ya
video ambazo zinaleta mapinduzi ya kweli katika muziki huu wa bongo
fleva, nakuweza kufanikisha kupata fans wengi wakimataifa…na kama
ulikuwa hujui hili, ni kwamba; ile video ya jux iliyofungiwa kutokana na
madai kuwa ilikuwa inaenda kinyume na maadili,nayo ipo kwenye list,hiii
yote ni kutokana na ubora wa video hiyo.
No comments:
Post a Comment