Official fan blog "Classmate" is one among Bongo Classmates properties... It's all about reporting of Current affairs..
Pages
▼
Pages
▼
Pages
▼
Wednesday, 21 May 2014
WASANII WA TANZANIA WATEGEMEWA KUSHIRIKI FIESTA CONGO.
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na
Michezo Mhe. Dkt. Fenella Mukangara
akizungumza na ujembe wa watu kutoka
Congo hawapo pichani waliomtembelea
ofisini kwake kuwaalika wasanii kutoka
Tanzania kushiriki katika sherehe za fiesta
nchini Congo kwa lengo la kudumisha
amani na mshikamano katika nchi za
maziwa makuu. Kulia ni Mwenyekiti wa
sherehe za fiesta kutoka Congo Bi. Anne
Gizenga.
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na
Michezo Mhe. Dkt. Fenella Mukangara
akifafanua jambo kwa wajumbe wa
maandalizi ya fiesta kutoka Congo
walipomtembelea ofisini kwake, kulia ni
mratibu wa sherehe za fiesta kutoka Congo
Bw. Faso Mushigo Celestin na katikati ni
Mwenyekiti wa sherehe za fiesta kutoka
Congo Bi. Anne Gizenga
Mhe. Dkt. Fenella Mukangara
akiangalia CD iliyorekodiwa matukio
mbalimbali ya fiesta ya mwaka jana
ilivyokuwa nchini Congo. Kulia ni
Mwenyekiti wa sherehe za fiesta kutoka
Congo Bi. Anne Gizenga. Picha na:
Genofeva Matemu – Afisa Mawasiliano
Serikalini
WHVUM
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na
Michezo Mhe. Dkt. Fenella Mukangara
wapili kushoto akipokea zawadi kutoka
kwa wajumbe kutoka Congo waliokuja
nchini kuwaalika wasanii wa Tanzania
kushiriki fiesta nchini Congo, kushoto ni
Mkurugenzi Idara ya Utamaduni Profesa
Hermas Mwansoko.
No comments:
Post a Comment